Gideon mtabibu

Gideon mtabibu

Share

Tunatoa Elimu, Ushauri na Tiba bora kabisa kwa magonjwa mbalimbali ambayo yanawakumba binadamu

30/08/2022

90% ya wanawake wanao shiliki tendo la ndoa wanapata maambukizi ya bacteria wabaya sehemu za siri

KWA NINI HILI LINATOKEA?
👉 Uke wa mwanamke una bacteria wengi sehemu za siri
👉 Uke wa mwanamke kwa asili ni asidi/tindikali
👉Uke was mwanamke unahitaji hewa
👉 Uke wa mwanamke unahitaji uangalizi mzuri na wa hali ya juu mara kwa mara

HATUA 5 ZA UKUAJI AMBAZO HUMUHATARISHA MWANAMKE KUPATA MAAMBUKIZI AU UZALISHAJI WA BACTERIA WABAYA
1: Kutoka hedhi
Damu inapopita hupunguza asidiki na hii huweza kupelekea MAAMBUKIZI ya bacteria wabaya
2. Ngono/tendo la ndoa
Kipindi Cha tendo mwanamke huweza kuambukizwa bacteria wabaya
3. Ujauzito
Hupelekea mabadiliko ya homoni ambapo HUPELEKEA kuathiri kiwango sahihi Cha bacteria wazuri kinachotakiwa
4. Kunyonyesha
Pia Hupelekea mabadiliko ya homoni
5. Kukoma kwa hedhi
Homoni za mwanamke ambapo huacha kufanya kazi

VIHATARISHI VINAVYO PELEKEA. MAAMBUKIZI
➡️ Vyoo vya kuchangia public
➡️ Underwear za nailon
➡️ Nguo za kubana
➡️ Tendo la ndoa
➡️ Kukoma kwa hedhi

MAGONJWA YANAYO JITOKEZA

1:U.T.I (urinary track infection)
2:P.I.D(pelvic inflammatory disease)

U. T. I
📌 Kushikwa na hamu ya kukojoa ila mkojo unatokea kidogo
📌 Kukojoa mkojo unaochoma
📌 Kukojoa Mara kwa Mara mkojo kidogo
📌 Mkojo kuwa na harufu mbaya


maumivu makali ya nyonga,tumbo,chini ya kitovu
1️⃣ Kutoka maji yasiyo ya kawaida na yenye harufu kali
2️⃣ Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
3️⃣ Homa kali
4️⃣ Maumivu kipindi Cha kukojoa
5️⃣ Kechefuchefu na kutapika,
6️⃣ Kutokwa uchafu sehemu za siri

YA P.I.D NA U.T.I
1. Kupata ugumba na utasa
2. Kukoma kujiamini
3. Kuharibu mfumo wa uzazi
4. Mimba kutoka
5. Kuvurugika kwa homoni mtu huanza kupata hedhi isiyo na mpangilio
6. Kutokufurahia tendo la ndoa


Changamoto zote hizo zinaweza kutatuliwa kwa kutumia tibalishe ambazo ni bora kabisa na kuisha kabisaaa. Tumewasaidia wanawake wengi kuondokana na changamoto k**a hizi. Huenda leo ikawa ni zamu yako.

Ikiwa unahitaji ushauri na tiba usisite kuwasiliana nasi kupitia namba hizi:
+255653996935
+255746025719

OFFA OFA!
Kwa wake watakaoagiza tiba hizi kabla ya Jumatatu ya tarehe 5/9/2022 watapata tiba hizi kwa bei ya punguzo la 20%. Amua leo kuondokana na adha zote zinazokusibu.

20/08/2022

Tupo kwa ajili ya kutatua matatizo ya kiafya karibun uhudumiwe
0746025719

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Isyesye
Mbeya
2222