The CivilEngineers Hub
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from The CivilEngineers Hub, Education Website, Mbeya.
21/04/2026
Kuna Siku Nilikuwa Natoa Lecture Kwenye Short Kozi ya Labour Base Side Drain Construction
> Sasa Kuna Mmoja wa Wanafunzi Akaniuliza Hivi Mbona Wakati Wakusoma Tukiwa Chuo Tunasoma Vitu Vingi Vingi Ambavyo Vingine Havina Hata Umuhimu,
Kwanini Mfano Mimi Nategemea Kuwa Civil Engineer/Technician Kusingekuwa Na Utaratibu Tu Nikifika Naambiwa Ili Uwe Engineer/Technician, Unatakiwa Ujue Moja Mbili Tatu!
Lile Swali Lilinifanya Niwaze Sana! After All Huo Ndio Ukweli Ulivyo..
Tunadeal Na Mambo Mengi Sana Kipindi cha Kujifunza CHUO Kiasi Mtu Una Lose Focus ya Kujua Vitu Ambavyo Ni Important na Vina Matter Kwenye Field Yako..
Na Hii Sababu Ndio Inapeleka Hata Graduates Baada ya Kuhitimu WANAKUWA HAWAJUI MAJUKUMU YAO K**A PROFESSIONALS WENGI WAO!
Kiasi Cha Kwamba Mtu Akiingia Mtaani Kwa Sehemu Kubwa Anahitaji Tena Msasa/Darasa Jingine Kwa Muda Ili Awe Competent Kwenye Field na Eneo Husika La Kazi! Hata Kwa Vitu Ambavyo Ni Fundamentals
> So for you as a Civil Engineer/Technician Nimebreakdown Fundamental Skills Unazotakiwa Kuzijenga na Kuwa Nazo ili Uwe Competent Kwenye Field ya Civil Engineering!
Kiasi Hata Leo Hii Ukitaka Kuanza Kujijenga Ujue Uanzie Wapi..
Bofya Hapa Kufahamu Zaidi: https://youtu.be/5TLRK2Zl-HQ
Kuna Wakati Unaweza Kujikuta Unaonea Mtu Wivu Kusema Kwamba Mbona Yule Ana Uwezo Mdogo Kuliko Mimi, Hajui Kazi K**a Mimi Lakini Ndio Yuleee Unamuona Anapeta Tu Ulimwenguni Huko!
Hata Mimi Nilikuwa Sielewi Nikiona Kitu K**a Ichi Inakuwaje Kuwaje Hii...
Wivu Ni Dhambi Lakini, Hahaha... ACHA KUWA NA WIVU!
Lakini Ukweli Ni Huu
Kujua Kazi Na Kupata Kazi Ni Vitu Viwili Tofauti..
Kuwa na Uwezo Na Kujua Kuuonyesha Uwezo Uliokuwa Nao Ni Vitu Viwili Tofauti!
Ambacho Wengi Tunachelewa Kukijua Ni Hiki,
Kila Kitu Kina Njia Zake..
Njia Unazotumia Kujua Kazi, Kujenga Uwezo Wako..
Haziwezi Kufanana na Njia Ambazo Unatakiwa Utumie Ili Upate Kazi..
Niliwahi Kuaminishwa Eti Wewe Ukiwa na CV Nzuri Tu Sio Rahisi Kukosa Michongo..Ooh, wewe..
Mzee Kuna Watu Ukikutana Nao Wanajua Mambo, Wako Na Ma Experience Makubwa Huko Nje Eti Hadi Unashangaa Inakuaje Na Huyu Kwa Uwezo wake, Kwa CV Yake Ana Struggle Hivi..
Iko Hivi Unaweza Kuwa na Bidhaa Nzuri Sana, Lakini K**a Hujui Kuuza Basi BIASHARA Imeishia Hapo!
Unaweza Kuwa Na Uwezo Mkubwa Mno Lakini K**a Huo Uwezo Wako K**a Hakuna Anayejua Basi BIASHARA Imeishia Hapo!
So Kufikia Unapotaka Unahitaji Combination Ya Vitu Zaidi ya Kimoja..
Ndani ya Video Hii Nimekuonyesha Ni Vitu Gani Hivyo: https://youtu.be/6_-Zo1xS1fs
K**a Umenielewa Nachosema Hii Inakuhusu Asilimia Zote.
By the way Check Hapa Kuona Nachoweza Kukusaidia: https://forms.gle/xRbm9GjfrH1xWbtB9
As a Civil Engineer/Technician Swala la Estimation & Costing Ni Kitu Muhimu Mno Kati ya Vitu Vikubwa Vitatu Ambavyo Unatakiwa Kuvielewa na Kuvifahamu..
Uwezo wa Kufanya Estimation & Costing Ni DIRA Mojawapo ya Kujua Mafanikio ya Kazi Yako !
Kujua Kufanya Estimation & Costing Kunakuonyesha K**a Mradi Ni wa Hasara au Laah!
K**a Kazi Ni ya Kubutua Dodo Chini ya Mnazi au Malinjilinji TU!..๐
Hii Ni Muhimu Sana Kwenye Level Ya PROJECT & SITE MANAGEMENT..
Ila Kwenye Ngazi ya Chini Huku Wewe K**a Civil Engineer/Technician Binafsi Kuna Kazi Zaidi ya Nne Unazoweza Kuofa K**a Service Nje Na Site Ukiwa Na Ujuzi wa Costing & Estimation..?
Unazijua Ni Zipi..
Bofya Link Hii Kufahamu Zaidi: https://youtu.be/FI_LSJ-AiTQ
11/04/2026
K**a Utahamua Kuingia Kwenye Civil Engineering Field As a Civil Engineer/Technician..
Kwa Specialization Yoyote ile ya Civil Engineering..
Haijalisha Utaajiriwa Kwenye Taasisi Gani.?, Utasajili Kampuni Yako au Utafanya Kazi Zako Binafsi Bila Kampuni!
Kazi Zote Ambazo Wewe Utafanya K**a Civil Engineer/Technician Zinaangukia Kati ya Haya Makundi 3...
Kundi la Mwisho Ndio, Kundi la Kazi Ambalo Wengi Sana Hawalijui!
Bofya Hapa Kufahamu Ni Zipi Hizo: https://youtu.be/gaVNUAx8LBQ
31/03/2026
Kuna Kitu Natamani Kushare na Wewe Upcoming & Fresher Civil Engineer & Technician.
/_Hata Wewe ๐ซต๐พ Ambae Huko Kazini Hii Inakuhusu.
>> Kuna Siku Miaka 5 Nyuma Nilikuwa Site Mkazambo, Borrow Pit Mvua Ilikuwa Imenyesha Hafu Na Udongo wa Kule Nature Yake Ilivyokuwa Ni Kwamba Mvua Ikinyesha Tu Hamna Gari wala Grader Wala Excavator Inaweza Kutembea Juu Ya Ule Udongo.
Sasa Kila Mtu Akawa Anasubiri Mimi K**a Site Engineer Nitoe Maelekezo Tunafanyaje Hapo Maake Kila Kitu Kitu Kilikuwa Ni cha Kukodi Matipa, Grader, Roller, Excavator So Ukisimamisha Kazi Ni Hasara Hata Kwa Nusu Saa Tu
Sasa Tipper Tatu Zilikwama Kwenye Barabara ya Borrow Pit Kwa Sababu ya Mvua ile Nikasema Excavator Aje Atoe Msaada Nae Akakwama Hapo Kwaio Kila Kitu Kilisimama.
Sasa Kuna Jamaa Mmoja Layman Tu Hata Shule Hajaenda Ndio Alikuwa Mwenyeji Wangu Mkuu Kule Alikuwa Anatoa Ushauri Tufanye Moja Mbili Tatu..
Hafu Anajitapa Mbele Yangu Na Kauli za Vijembe Mimi Ndio Engineer Hapa Kaa Pembeni Niache Mimi Nifanye Kazi Yangu Sasa Kauli Zake Zilikuwa Zinanikera Kwa 7bu Zilikuwa Ni za Kubeza Kwaio Nikawa Nampinga Kwa Ushauri Anaotoa ๐
Anyway Baadae Nikamuacha Tufanye Anachotaka.
Tulivyofanikiwa Baadae Alinifundisha Kitu Akaniambia Mimi Hata Nikifanya Vipi Siwezi Kuutoa U Injinia Wako Kwa 7bu Ni Professional Umesomea ๐
Sijui Kwenye Hii Story Umejifunza Nini.. ๐ ila Ki Mtaani Wanasemaga Wenye D Mbili au Waliosoma Cuba Wameelewa
By the way Natamani Ujifunze Kitu Makosa Makubwa Ambayo Unatakiwa Uyaepuke K**a Fresher Civil Engineer/Technicianโฆ ili Kuvutia Fursa Zaidi na Kulinda Career Yako Popote Utapokuwepo:
Bofya Hapa Kujifunza Zaidi: https://youtu.be/gwXlsHW1474
Click here to claim your Sponsored Listing.
Address
Mbeya
53116