Pacha Jr

Pacha Jr

Share

Super gro

16/09/2022

SUPER GRO MKOMBOZI WA WAKULIMA

Ni Kirutubisho/Lishe ya asili ya mimea aina zote. Ni kirutubisho rafiki kwa mazingira mazingira( udongo) na kwa mtumiaji pia

KAZI ZA SUPER GRO
1:Kusaidia udongo kutunza unyevunyevu kwa muda mrefu(wetting agent) kwani Super Gro huvunjavunja uzio wa maji na kuruhusu kupenya hadi tabaka la 3 la udongo
2:Kuongeza uzalishaji kwa maana ya wingi na ubora wa mazao.
3:Husaidia mimea kufyonza virutubisho vilivyomo ktk udongo hasa ktk tabaka la 3 la udongo kwani hufanya mizizi ya mimea kupenya ktk tabaka hilo na kufyoza virutubisho vyote muhimu hivyo mimea kuwa imara na yenye afya
4: Kusaidia dawa za kuulia wadudu zisitiririke (Sticker)na zifanye kazi ipasavyo, hivyo kupunguza garama za dawa na pembejeo zingine za kilimo
5:Kupunguza garama za mbolea(hadi kufikia nusu) kwani kwa kutumia Super Gro utatakiwa kutumia kiac kidogo sana cha mbolea
6: Kufanya mimea iwe na rangi halisi ya ukijani kwani ukijani huo ndio unasaidia mmea kujitengenezea chakula chake
7: Sio sumu na haiharibu udongo kabisa (unaweza kupuliza ktk mmea asubuh na baadae jioni ukaweza kula bila athari yoyote

JINSI NA MUDA WA KUPULIZA
Tunapuliza ktk majani ya mmea pamoja na shina la mmea pia

Tunapuliza Mara 1 baada ya cku 7 kwa kipindi cha Kiangazi
Na Mara 1 baada ya cku 14 kwa kipindi cha Masika.

VIPIMO
1cc/ml ya Super Gro utachanganya na 1litre ya maji

10cc za Super Gro utachanganya na 10litres za maji

** Dumu moja la Lita 5 utatumia kwa eneo la Hekari 10
**Lita 1 ya Super Gro utatumia kwa eneo la heka 1-2

UPATIKANAJI

Dumu la Lita 5 utapata

Lita 1 utapata ,

**Pata Super Gro original kwangu, nitumie SMS http://wa.me/+2550684746906

12/09/2022

Super gro mbolea ya maji yenye vilutubisho bora zaid kwa ajili ya ard kuifany kuwa na lutuba na kufanya ardhi kuwa na unyev kwa mda mlefu

Want your business to be the top-listed Business in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Mbeya