Cute

Cute

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Cute, Women's clothes shop, Mbeya.

15/01/2026

Mchezo wa Al Ahly SC vs Yanga SC siku ya Ijumaa utapigwa kwenye uwanja wa Borg El Arab uliopo Alexandria ikiwa ni mwendo wa masaa 2:30 mpaka 4 kutoka Cairo kwa usafiri wa Treni au Basi✍️

Mchezo wa mwisho Yanga kucheza uwanjani hapo walipoteza bao 2-1 dhidi ya Al Ahly kwa bao la 94’ la Abdallah El Said.

DONDOO MUHIMU
- Pitch yake (Eneo la kuchezea) ina urefu wa Mita 105 na upana wa Mita 70.

- Uwanja huu upo Kilomita 1.5 kutoka kituo cha Treni na upo kilomita 15 kutoka Alexandria mjini.

- Una uwezo wa kuingiza mashabiki 86,000 walioketi na una paa moja tu liliofunikwa (VIP)

- Upo Jangwani (Kwenye mkondo wa jangwa la Cairo - Alexandria)

- Ni uwanja ambao hautarajiwi kujaa kwa sababu mashabiki wa Alexandria sio waendaji uwanjani k**a wa Cairo.

- Ni uwanja wa Kisasa mno licha ya muonekano wake wa kizamani✍️ Una huduma zote za kisasa na za viwango vya juu…! Migahawa, maduka, vyoo na kila kitu ni kizuri✍️

- Zamani Zamalek na Ahly walipeleka sana mechi zao ngumu huko Ila kwa sasa unatazamwa k**a uwanja wa kawaida tu na wanapeleka mechi zao kwa ajili ya mashabiki wa Kaskazini mwa Misri✍️

- K**a vilivyo viwanja vingi vya Misri, uwanja huu umejengwa kwenye ubunifu na usimamizi wa jeshi la Misri✍️

- Ni uwanja wa pili kwa Ukubwa Misri (Nyuma ya Misr Stadium 90K) na ni wa pili kwa umaarufu baada ya Cairo International ✍️

- Upo karibu mno na Bahari ya Mediterrania.

Mwenyeji!? Mjumbe wa K**ati ya utendaji ya Yanga anaujua vyema tu kwani 2016 alikuwa na Yanga wakati wakicheza hapo na ndiye aliyelinda chumba cha Yanga!

25/10/2025

🚨🚨 DEAL DONE: Yanga wamemuajiri kocha wa zamani wa Ekenäs ya Finland,Casa Pia ya Ureno,na timu za vijana za Sporting Lisbon,Filipe Duarte da Silva Pedro,kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo✅

Kocha huyo ataambatana na kocha mkuu Pedro Gonçalves ili kuinoa Yanga.

Ikumbukwe walikuwa pamoja kwenye timu ya taifa ya Angola.

Balaa jingine limetua NBC😄

Kwa habari za uhakuka

08/10/2025

,,,🔥🔥ROMUALD ROKOTONDRABE

Kocha mpya wa Yanga ROMUALD anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania siku ya jumamosi October 11 kukamilisha usajili wake ndani ya Yanga k**a kocha mkuu.

23/09/2025

,,,🔥| YANGA KUCHEZA MECHI 3 NDANI YA SIKU 7 TU 😥

Yanga vs Pamba Jiji - Septemba 24
Yanga vs Wiliete - Septemba 27
Mbeya City vs Yanga SC- Septemba 30

Ratiba ni ngumu sana ila naamini msimu huu tuna kikosi kipana sana 🙏 tuendelea tu kusapoti na kuiombea timu yetu

18/09/2025

Kuna Mda Rushaina Aligalagazwa akaona Kila Rangi.

Want your business to be the top-listed Clothing Store in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Culinary Team

Attire

Website

Address


Mbeya