BASIC SUPER TV
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from BASIC SUPER TV, Arts and entertainment, MBARALI, Mbeya.
14/04/2026
Liverpool na Barcelona zimeaga rasmi michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kushindwa kuvuka hatua ya robo fainali.
Liverpool imekumbana na kipigo kingine kutoka kwa mabingwa watetezi, Paris Saint-Germain (PSG). Nyota wa timu hiyo, Ousmane Dembélé, alifunga mabao mawili yaliyoiwezesha PSG kutinga nusu fainali kwa kishindo.
Katika pambano jingine lililovuta hisia za mashabiki, Atlético Madrid ilionyesha ubora wake licha ya kufungwa mabao 2-1 na FC Barcelona katika mechi ya marudiano. Ushindi wao wa mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza uliwapa faida ya jumla, na hivyo kuwahakikishia nafasi ya kusonga mbele hadi nusu fainali.
source VOA
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Address
MBARALI
Mbeya
Opening Hours
| 09:00 - 17:00 |