Me and Tax
Me and Tax is platform with the aim of enhancing Knowledge and awareness on Tax and Customs issues to business industry and to the general public at whole.
10/10/2019
Hello friends 👋Me and Tax ni platform inayokuweka karibu wewe mfanyabiashara au mtoa huduma na wataalam wa kodi na forodha.Tunatoa huduma zifuatazo
1. Ushauri wa mambo ya kodi na forodha
2. Kupata huduma za kihasibu
3. Kuandaa ritani za kodi
4.Kuandaa vitabu muhimu vya kutunzia kumbukumbu za biashara kwa njia ya kielectronic na kawaida na huduma zinginezo.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa 0755170638 ( namba hii inapatikan kwa watsap pia)
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mbeya
1321