AFYA BORA KWA WOTE
utapata elimu juu ya magonjwa mbalimbali na jinsi ya kuyazuia na kujitibu bila malipo yoyote
18/03/2023
Afya ndio utajiri pekee wa dunia
18/03/2023
Huenda umeteseka Kwa kipindi kirefu sana na matatizo mbalimbali ya kiafya ikiwemo kisukari presha PID UTI SUGU VIDONDA VYA TUMBO BAWASIRI MATATIZO YA UZAZI KWA WANAWAKE UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME NK Bila kupata msaada na tiba ya uhakika na umetumia madawa na madawa lakini Bado hujafanikiwa kupata mafanikio juu ya tatizo lako
Nina Imani huenda kosa sio la kwako inawezekana kosa ni la watu wanaokuuzia dawa bila kuwa na utaalamu wa kutosha juu ya matumizi sahihi ya dawa hizo huku wengine wakiwa hawana ujuzi wa kutosha juu ya Tiba hizi na kupelekea wengi wetu kuishia kupoteza pesa na kupata matatizo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuyafanya matatizo yetu kuwa sugu mara baada ya matumizi ya MADAWA ambayo hayaendani na tatizo husika
Hivyo kupitia page hii utakutana na wataalamu wa Tiba waliobobea ambao watakuwa wakieleza magonjwa mbalimbali na jinsi Gani utaweza kuyatibu kwa kutumia dawa rahisi za mimea ukiwa nyumbani bila malipo yoyote yale
CHAKUFANYA LIKE PAGE HII NA UKIWEZA SHARE PAGE HII KISHA SUBIRI KUPATA TIBA BUUUREEE KABSA BILA MALIPO
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mbalizi
Mbeya