Afm Sweet Bites

Afm Sweet Bites

Share

Sisi ni wauzaji wa bites zenye ubora za aina mbalimbali

17/09/2023

AFM sweet Bites Tanzania sisi ni wauzaji na waandaaji wa bite's Tunauza jumla na rejareja
Tunapatkan iyunga mbeya mjini

Wastp 0712546064
Call 0785174423

21/04/2023

Je? umekuwa ukiwaza ni wapi utapata clips zenye kiwango na ubora wa Hali ya juu zisizo na mafuta mafuta lkn umekuwa hupat jib?

Sas usingaike tena, kutana nasi AFm sweet bites Kwa clips zenye ubora wa Hali ya juu na Kwa Bei nafuu kabsa

sis tunaaminika ktk ubora na mpaka sasa tunahudumia wateja wa mikoa Zaid ya 10 Tanzania nzima,

Pia tunaandaa karanga ya mayai, karanga mbichi, karanga ya kukaangaa na tambi nyembamba

pia tunatoa huduma kweny maduka ya shule, garama za clips zetu ni tsh400 Kwa Bei ya jumla

pia tuna package ya tsh800 Kwa Bei ya jumla

Kwa wew ulie mkoani tunakutumia Kwa muda mfupi San

wasiliana Nasi Kwa namba ya wastp 0712 54 60 64 call 0785= 17 44 23 karibuni nyote

16/04/2023

Tupigie tukuletee ndan ya mbeya lkn mikoan tunakutumia toa odar mapema tumeandaa mzgo mchache Kwa wateja wachache 0785 17 44 23 call na 0712 54 6064 whastp

19/03/2023

Popote mbeya tunakuletea Kwa garama zetu ila mikoan tunatuma tupigie Kwa namba hiz 0785174423 au whstp namba 0712546064

19/03/2023

popote mbeya tunakuletea na mikoan tunatuma tupigie Kwa 0785174423 au whstp namba 0712546064

Want your business to be the top-listed Bakery in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Mbeya
Mbeya
00000