Alochick - alome chickens
karibu tupeane elimu ya ufugaji wa kuku kibiashara wakati wa kungojea ajira umepita changamkia fursa sasa kujiepusha na umaskini wa kujitakia
09/10/2023
CHICKEN BREEDS
1. ARAUCANA
The Araucana trait of laying blue or greenish eggs has persisted and now breeders are attempting to standardize the physical makeup of the population and gain them recognition as a breed. Some of the Araucanas were rumpless and possessed some interesting ear tufts. In the future, these fowls will likely be developed into an interesting breed with both economic and ornamental attributes.
13/11/2020
JINSI YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA KUKU NYUMBANI KWAKO ~ CHICK MASH ( WIKI YA 1 - WIKI YA 8)
Mambo muhimu ya kuzingatia katika kuandaa chakula
cha kuku
• Upatikanaji wa malighafi k**a:- Mahindi mtama, pumba, nk. Kutegemeana
na kinachopatikana katika eneo husika.
• Uchaguzi wa malighafi utategemea uwezo wa mfugaji.
• Utengenezaji wa chakula unategemea rika la kuku unaowatengenezea.
• Kiasi au uwingi wa chakula kitakachotengenezwa kitategemea uwezo wa
mfugaji kifedha.
• Mali ghafi zinazotumika kutengenezea chakula ziwe zimekauka vizuri ili
kuepuka uwezekano wa kuota ukungu ambao ni hatari kwa afya ya kuku.
• Hata k**a mali ghafi ni kavu ikaguliwe kuhakikisha kwamba haina ukungu
na iwe haijaoza.
wa nafaka k**a mahindi au mtama Kilo 40
za mtama, mahindi, uwele Kilo 27
ya, alizeti, , ufuta karanga au pamba n.k Kilo 20
wa mifupa au chokaa ya kuku Kio 2.25
au mabaki ya samaki Kilo 10
0.25
(Premix) 0.5
Jumla Kilo 100
Karibu "Alochik" wafugaji wa Kuku . Tupo Sonnwe-Tunduma. Kwa mahitaji mbalimbali ya Vifaranga na Kuku, Ushauri ama swali 0746090774(Call/Whatsaap/Text/Telegram)
UGONJWA WA KUHARA DAMU KWA KUKU. (COCCIDIOSIS)
Coccidiosis ni ugonjwa wa kuhara damu unaosababishwa na vijidudu wajulikanao kwa jina la "Protozoa". Wadudu hawa hushambulia sehemu mbalimbali za utumbo wa kuku.
MAZINGIRA YANAYO SABABISHA COCCIDIOSIS.
Unyevu kwenye matandazo/maranda (litter material).
Kutobadilisha matandazo/maranda kwa muda mrefu.
Kuhamishia vifaranga kwenye sehemu waliyokuwa wanakaa kuku wakubwa bila kufanya usafi.
DALILI ZA COCCIDIOSIS.
Kuharisha; kwanza kinyesi huanza kuwa laini, pili hubadilika rangi kuwa kijivu na baadaye mchanganyiko wa damu na kuonekana k**a kahawia au rangi ya udongo au brauni.
Manyoya yasiyo na mpangilio na yaliyosinyaa, kuku hapendezi na hukunja mabawa k**a amevaa koti. Kuku kupauka(paleness), hususani kwenye viremba(comb/wattle) na miguuni kutokana na kukosa damu.
Kukua polepole(poor growth).
Kukosa hamu ya kula.
Vifo vingi hasa vifaranga.
Kupungua uzito.
Kushusha utagaji.
NAMNA YA KUZUIA COCCIDIOSIS.
Epuka unyevu kwenye maranda(litter material) na banda kwa ujumla.
Tumia dawa za kukinga ugonjwa (coccidiostats).
Badilisha maranda kabla ya kuingiza vifaranga au kuku wapya.
JINSI YA KUTIBU COCCIDIOSIS. Tumia (i) Esb3 - Kwenye maji au (ii) Amprolium -Kwenye maji.
MUHIMU
''Matibabu yote ni muhimu kutumia dawa ya vitamin (multivitamin) k**a nyongeza kwa muda wa siku tatu zinazoachana kwa ajili ya kuongeza hamu ya kula''''''
UKIITAJI KITABU CHA UFUGAJI BORA WA KUKU
HARDCOPY SH 10000
SOFTCOPY SH 5000 UNATUMIWA KWA EMAIL AU WHATSAPP
TUNAPATIKANA MBEYA
BY
ALOCHICK
0746090774
22/12/2019
Hatak**a Uko Busy, Basi Jitahidi Weekend Nenda Shamba Kaone Maendeleo Ya Mifugo Yako
Hasara nyingi zimetokana na wafugaji kutokuiangalia Miradi kwa Ukaribu
Epuka HASARA zitokanazo na Kutokuiangalia Miradi kwa UKARIBU
Kumbuka Umewekeza Fedha Yako, Usiache Ipotee Kirahisi
Inuka Nenda Shamba, Acha Kufuga Kwa Simu
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the restaurant
Telephone
Website
Address
Tunduma
Mbeya
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 18:00 |
| Tuesday | 08:00 - 18:00 |
| Wednesday | 08:00 - 18:00 |
| Thursday | 08:00 - 18:00 |
| Friday | 08:00 - 18:00 |