Elite Innovators Club - EIC

Elite Innovators Club - EIC

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Elite Innovators Club - EIC, Business consultant, Ilomba, Mbeya.

13/07/2024

Furahia Utakufu wa Mungu katika siku hii.

12/03/2024

Nawatakia Waislamu wote mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutujalia baraka ya kufikia tena kipindi hiki muhimu katika imani.

Yeye Mtukufu Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu, Yeye tegemeo letu, Mwenye kutuona tunaposimama na mageuko yetu kati ya wanaosujudu, Yeye Mwenye kusikia na Yeye Mwenye kujua, atuongoze sote katika kufanya ibada, kusamehe, kuwajali zaidi wenzetu, na akaipokee funga yetu.

wewe ni muujiza ,usikate tamaa MUNGU yupo.

Ramadhan Kareem.
Amos Armani

08/01/2024

Utofauti Kati Ya Maskini na Tajiri Ni Mtazamo tu.
Wakati Wengine Wakiona Matatizo K**a kisingizio/Kuzuizi cha kuwakwamisha Kufikia MALENGO

MATAJIRI hali ni Tofauti Wanaona MATATIZO k**a Changamoto Inayopaswa Kutatuliwa Ili Kwenda hatua Nyingine katika Ukuaji Kiuchumi, Kimahusiano au kiroho.

Katika Kila Changamoto Inayokuja Kwenye maisha yako Ni Fursa inayogonga Mlango, Tulia na utizame Vizuri na uone Namna Gani maisha yako yamebadilika mbele.

Matatizo hata K**a yangekuwa makubwa Kiasi gani hayadumu milele

Vivyo hivyo FURSA huja Na Kupotea.

Ikiwa Una NDOTO Kubwa huwezi kuacha kufikiria Namna ya Kuongeza Chanzo kingine cha MAPATO badala ya kutegemea hicho kimoja pekee

NJIA pekee inayoweza kukusaidia Wewe Kufikia MALENGO yako ni Kufanya Biashara! ndio Biashara

Najua Uko Busy sana na Umetingwa na Majukumu unayofanya kwa sasa , Hata hivyo sio kikwazo kwako Kufanya Biashara ambayo Nimepanga kuitambulisha Kwako

Kwani Watu Wengi hufanya kwa kutumia Muda wao wa Ziada tu na Kufanikiwa kuingiza Faida ya Laki Moja hadi laki Tano kwa Wiki.

Na Wengine Hufanya kazi Full time kwani Wameamu kujiajiri kupitia FURSA hii

FURSA Anagonga Mlangoni Pako Amebeba Nafasi ya Kukubeba Mpaka Ulimwengu wa Ndoto Yako.

Ukimpokea ni Sawa na Usipo mpokea pia ni Sawa.

ANZA leo Biashara Kwa mtaji Mdogo Sana na Njoo WhatsApp Sasa hivi Tuma Neno " FURSA" nikutumie Video ya Dakika 33 inayoelezea biashara yote kwa Ujumla. bonyeza maandisha Ya Blue Kuja Whatsapp WA.ME/+255621067391
Work From Home 🙂
I'm Amos Armani
0621067391

07/12/2023

The White Heron Organization - Anza Biashara Leo

Photos from Elite Innovators Club - EIC's post 30/08/2023

Ingekuwa watu wamezoeza akili yao kuona fursa kirahisi k**a ilivyo rahisi kuona mapungufu ya watu wengine; ulimwengu ungekuwa mbali sana.

Ni rahisi sana kuzungumzia makosa ya watu wengine na kusahau ya kwetu binafsi. Ni rahisi sana kukosoa wanachofanya wengine wakati hakuna tunachokifanya. Kauli k**a ningekuwa mimi, nisingejenga kajumba kadogo k**a hako. Au, gari gani hiyo- ndogo k**a kiberiti?

Ulimwengu ungekuwa mbali sana k**a watu wangeziona fursa kirahisi k**a ilivyo rahisi kuona mapungufu ya watu wengine.

Usiku Mwema Rafiki
Wako Jina Amos Armani

Want your business to be the top-listed Business in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Ilomba
Mbeya
3465