Ben Azam
β₯οΈ MAKALA ZA MICHEZO
β
AZAM FC
β
SHABIKI WA FEI TOTO
π§ BABA FAITH NA SHAMSA
08/05/2026
KITAMBALAAAA! β½οΈ
7' TRA UTD 0-1 Azam FC
05/05/2026
NI VILE TU WATU HUANGALIA MECHI KUBWA TU.
Miongoni mwa game ambazo huwa zinavutia kuziangalia ni Pamoja na hii ambayo inazikutanisha Azam na Namungo Fc, ni mechi ambayo huwa ni ngumu kwa pande zote mbili na zote huvutana Mashati kwa nyakati tofauti.
Kwa Leo Azam imeshinda 1-0 Bao la penati likiwekwa kimiyani na Fei Toto. Na Fabrice Ngoyi wa Namungo akakosa mkwaju wa penati uliotolewa na kipa Zuberi Foba.
Kabla ya mchezo wa Leo, mara ya mwisho Azam kushinda dhidi ya Namungo ilikuwa October 3 mwaka 2024. Michezo mingine yote waliyokutana baada ya hapo ilikuwa ni kutoshana nguvu.
Leo kulikuwa na game Kali baina ya Ibenge na Mgunda.
03/05/2026
Prince Dube... leo ame cheza game bora sanaaa, toka anze kuva jezi ya Yanga leo ndio ame kumbusha vile alivo zoea kuwafanya Simba akiwa Azam Fc.
Kwanza amefunga goli la kuwarudisha Wananchi mchezoni, then aka win mpira hewani mbele ya walinzi wakubwa ( Ture na De Reuck) mpira ulio temwa na Kasali likatokea goli la Nondoπ₯
Na kwa movement zake ali karibia kufunga goli la 3 katika nafasi alio tengenezewa na Pacome π
Prince leo amesumbua sana line ya ulinzi ya Mnyama.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mbeya