Wana Foundation

Wana Foundation

Share

Advocating for Good Deeds, Education and Skills Development

05/03/2026

It was pleasure attending Good Deeds Day Leadership Conference and networking with leaders from different organizations and individuals dedicated to doing good.

Good Deeds Day Leaders Conference, March 1, 2026 at . This Conference brings together partners to share, learn and exchange experiences.

Thank you Madam Doroth Namuhisa and for the invitation.

Let’s Keep Doing Good Together

20th Anniversary on April 12, 2026

JUST US FOR LOVE

03/01/2026

Hello WANA CHARITY, Happy New Year!

Ni mwaka mwingine tena, shukrani ziende kwako wewe uliefanikisha shughuli za Wana Charity 2025 kwa michango ya pesa na muda wako hakika Mungu hawezi kukusahau. Kipekee sana shukrani ziwafikie AGF - Songwe ambao wamefanya sana katika shughuli ya ujenzi pale Simambwe, hata sijui bila hawa jamaa ingekuwaje. Mungu awabariki sana na hii 2026 Mkafanikiwe sana.

Sasa jana tulifika Simambwe kuangalia ujenzi wetu (Mungu akubariki Glory kwa muda wako siku ya jana) lakini pia tulienda na mafundi wa kupaua ili watufanyie tathmini tujue tutaezeka kwa gharama gani. Mafundi wa kujenga ndio wanamalizia upande sasa ni wakati wa kurudi kwa pamoja ili tuone tunalifunika vipi hili pagara ili ndugu yetu aingie kwenye nyumba yake mapema.

Tunahitaji tupate;
- Bando za Bati
- Mbao
- Misumali
- Malipo ya ufundi.

Najua Mungu ametubariki kwa baraka tofauti tofauti na vipato tofauti toafauti ili tufanyike baraka kwa wengine. Hii ni January panda sadaka nzito itakayokubeba na kuyashika maisha yako mwaka mzima.

Jilipue chukua bando 1 mjengee huyu jamaa halafu ukiwa unamuomba Mungu mkubushe hii. Mungu hasahau

Tukimbizane sasa na Mungu hawezi kutuacha … Msimu wa mvua ndio huu tusiache jengo likaloa muda mrefu.

M-Pesa: 0746156319
Jina: Frank Mwainyekule

WANA CHARITY
JUST US FOR LOVE

01/01/2026

Thank you to everyone who stood with us, believed in our mission and helped us touch lives in 2025. Together we created change. May 2026 bring more opportunities, unity and hope. Happy New Year! 🎆❤️

25/12/2025

We wish you a Merry Christmas and Happy New Year🥳🎄

❤️

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Mbeya