ROCK FM RADIO
ROCK FM RADIO
08/01/2025
18/12/2024
Jumatano ya Maombi
repost by
Usinipite tena Mwokozi Jumatano hii 🙏
Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya.
Yohana 14:14
Karibu tena Jumatano ya Maombi Kumwita Bwana
⏰ 12:30-01:00 ASUBUHI
11:30-12:00 JIONI
⛪ MBEYA KATI SDA
18/12/2024
Thamani ya maisha ya Mwanadamu, iligharimu uhai wa Mwana pekee wa Mungu, Damu yake ya Thamani ndiyo pekee iliweza kununua gharama za wokovu wa Mwanadamu.
•
•
Karibu katika wiki ya shukrani na maombi ikiletwa kwako na Kanisa la Waadventista wa Sabato Nyarugusu, Geita. Utabarikiwa na Mahubiri, Shuhuda, Shukrani na Maombi ya kipekee kwa juma zima, Kuanzia Tar 21-28 Disemba 2024, kuanzia saa 12.00 hadi saa 02.00 Usiku, Ibada hizi za kipekee zitarushwa Mbashara kupitia Hope Channel Tanzania | AWR Tanzania na Rock Fm Mbeya, huu utakuwa wakati wa pekee kumshukuru Mungu katika wiki ya mwisho ya kumaliza mwaka 2024.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Mbeya