SokaPlace
Pata Habari za Michezo kila siku kutoka katika vyanzo mbali mbali vya Duniani
Brand Ambassador
Mwanjelwa Agrovetcenter
06/06/2026
⚽Kamata Matokeo ya Kandanda Jana
WORLD: Friendly International
FT Czech Republic 3-1 Guatemala
FT Mexico 5-1 Serbia
FT Qatar U20 0-2 Wales U19
FT Serbia U17 2-1 Romania U17
FT Singapore 1-2 China
FT Hong Kong 2-0 Mongolia
FT Thailand 2-2 Kuwait
FT Indonesia 3-0 Oman
FT Belarus U21 2-0 Kazakhstan U21
FT Uzbekistan U23 0-1 Japan U21
FT Russia U21 5-1 Iraq U23
FT USA U20 1-0 Georgia U21
FT Albania U17 1-4 Bulgaria U17
FT Montenegro U21 1-1 Cyprus U21
FT Tajikistan 3-1 India
FT USA U18 0-2 Sweden U18
FT Tunisia U20 1-0 Algeria U20
FT Belarus 4-1 Syria
FT Georgia 2-0 Bahrain
FT USA U21 3-1 Ukraine U21
FT Slovakia 2-2 Montenegro
FT Algeria U23 2-0 Mauritania U23
FT Moldova 2-2 Bulgaria
FT Russia 3-0 Burkina Faso
FT San Marino 1-2 Bangladesh
FT Hungary 2-1 Finland
FT Azerbaijan 0-2 Malta
FT Benin 1-1 Niger
FT Central Africa 1-1 Togo
FT Slovenia U21 1-1 Albania U21
FT Angola 1-1 Mauritania
FT Puerto Rico 0-3 Saudi Arabia
FT Canada 1-1 Ireland
FT Haiti 1-2 Peru
ALGERIA: Ligue 1
FT Khenchela 1-0 Rouisset
FT Mostaganem 2-2 El Bayadh
FT Paradou 0-2 ES Setif
FT MC Alger 2-0 A*O Chlef
FT Kabylie 0-0 CR Belouizdad
FT Saoura 3-1 Constantine
📅 Kamata Ratiba ya Kandanda Leo
WORLD: Friendly International
07:30 Vanuatu vs Fiji
14:30 Myanmar vs Guam
16:00 Belgium vs Tunisia
17:00 Armenia vs Kazakhstan
17:30 Kyrgyzstan vs Palestine
18:00 Ethiopia vs Malawi
19:00 Sierra Leone vs Liberia
20:00 British Virgin Islands vs Bonaire
20:00 Gibraltar vs Cayman Islands
20:45 Portugal vs Chile
20:45 Romania vs Wales
21:00 Albania vs Luxembourg
21:30 USA vs Germany
22:00 Panama vs Bosnia & Herzegovina
22:00 Switzerland vs Australia
23:00 Bolivia vs Scotland
23:00 Cape Verde vs Bermuda
23:00 England vs New Zealand
23:00 Qatar vs El Salvador
00:00 Chile U20 vs Brazil U20
00:00 Jamaica vs South Africa
01:00 Brazil vs Egypt
01:00 Venezuela vs Turkey
ALGERIA: Ligue 1
19:00 Olympique Akbou vs Ben Aknoun
20:00 Oran vs USM Alger
DR CONGO: Ligue 1 Championship Group
16:00 Simba vs St Eloi Lupopo
17:00 Aigles du Congo vs AS Vita Club
Photo Credits
Sponsored by
Mchezaji wa klabu ya Tanzania Prisons, Lambarti Sabiyanka, amesema kwa sasa timu imejipanga vizuri kuhakikisha haishuki daraja, huku akisisitiza kuwa wataingia kwa nguvu zote katika michezo yao ijayo ili kupata matokeo mazuri na kuendelea kubaki Ligi Kuu Bara.
"Tumejipanga vizuri na tupo tayari kupambana katika michezo ijayo. Lengo letu ni kuhakikisha Tanzania Prisons inabaki Ligi Kuu na tutapambana hadi dakika ya mwisho kufikia malengo yetu,"
Amesema Sabiyanka.
Sponsored by
🗣️ Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Shadrack Nsajigwa, amesema kikosi chake kinaingia kwenye michezo iliyosalia ya Ligi Kuu kikiwa na kauli mbiu ya "Hatushuki Daraja", huku akisisitiza kuwa kila mchezaji amejipanga kupambana kwa nguvu zote kuhakikisha timu inabaki salama msimu huu.
Nsajigwa amesema ushindani wa ligi ni mkubwa, lakini ana imani na uwezo wa wachezaji wake katika kutafuta matokeo mazuri kwenye mechi zijazo na kutimiza lengo la kubaki Ligi Kuu.
🔥 Kauli mbiu yao kwa sasa ni moja tu: HATUSHUKI!
Mshambuliaji wa klabu ya Tanzania Prisons, Samson Mbangula, amesema kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara ina ushindani mkubwa sana, huku akisisitiza kuwa hakuna timu yenye uhakika wa kubaki salama kutokana na tofauti ndogo ya pointi zilizopo kati ya timu nyingi kwenye msimamo wa ligi.
Amesema kila mchezo uliosalia ni muhimu Kwao na wanapaswa kupambana kwa nguvu ili kuhakikisha wanasalia Ligi Kuu Tanzania Bara
Mbangula amewaomba Mashabiki wa klabu Hiyo kuendelea kuwapa sapoti kwani wao ni watu Muhimu Kwenye Timu Yao ya Tanzania Prisons
Sponsored by
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mbeya