tzyaleo.blogspot.com

tzyaleo.blogspot.com

Share

Stay with us to keep you well informed about what is happening around the whole world.You can share with us what is happening right where you are!

07/09/2017

Mbunge Tundu Lissu apigwa risasi na watu wasio fahamika huko Dodoma!Mungu/Allah amjalie kupona mapema.

Photos 13/02/2016

LISSU NA KESI YA EZEKIEL WENJE.

Mwanasheria nguli ndugu Tundu Antphas
Mung'wai Lissu ameahaidi kujiuzulu ubunge
wake k**a mteja wake Ezekiel Wenje akishindwa
kesi dhidi ya mbunge wa sasa wa jimbo la
Nyamagana bwana Mabula.

Hii imekuja mara baada ya mahaka jijini Mwanza
kuamru pande zote kuleta vithibitisho vya ushindi
wa ubunge wao! Ndugu Mabula alileta
masanduku ya kura kutoka jiji k**a ushaidi
tosha unaohalalisha ushindi wake, wakati Wenje
alileta form no 21 inayoonyesha sahihi za
mawakala wa vyama vyote huku form hiyo
ikionyesha kushindwa kwa Mabula.

Mahak**a ilimtaka ndugu Mabula kuonyesha
ushahidi mwingine tofauti na masanduku ya kura,
mabula alisema nyaraka zingine alizichoma moto
kwani aliona hazina tena maana kwake.

Mara baada ya mahak**a kuairisha kesi hyo
mpaka hapo baadae tarehe itakapotajwa,

mwanasheria machachari ndugu Tundu Lisu
alimfuata bwana Mabula na wakili wake na
kumweleza "Endapo Ezekiel Wenje hatashinda
kesi basi kesi nitalazimika kukununulia gari yenye
thamani ya pesa za kitanzania 25 ml na
nitajiuzulu ubunge na nyadhifa zangu zote ndani
ya chama changu" alisema Lissu.

Want your business to be the top-listed Media Company in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Uyole
Mbeya
255