Simama CBR

Simama CBR

Share

Simama CBR Mbeya is a Community Based Rehabilitation Program with the aim to provide high quality rehabilitation services for people with disabilities.

25/12/2022

Krismasi ni sherehe ya kukumbuka umuhimu wa ushirikiano,upendo kwa watu wanaoishi kwenye mazingira hatarishi.
Kilasiku SIMAMA CBR inafanya kazi ya kuendelea kufanya shughuli zake katika vituo vyetu vinavyojumuisha watoto,familia zao na jamii nzima.

๐‘Š๐‘Ž๐‘“๐‘Ž๐‘›๐‘ฆ๐‘Ž๐‘˜๐‘Ž๐‘ง๐‘– ๐‘ค๐‘Ž ๐‘†๐ผ๐‘€๐ด๐‘€๐ด ๐ถ๐ต๐‘… ๐‘ค๐‘Ž๐‘›๐‘Ž๐‘ค๐‘Ž๐‘ก๐‘Ž๐‘˜๐‘–๐‘Ž ๐‘›๐‘ฆ๐‘œ๐‘ก๐‘’ โ„Ž๐‘’๐‘Ÿ๐‘– ๐‘ฆ๐‘Ž ๐‘ ๐‘–๐‘˜๐‘ข๐‘˜๐‘ข๐‘ข ๐‘ฆ๐‘Ž ๐‘˜๐‘Ÿ๐‘–๐‘ ๐‘š๐‘Ž๐‘ ๐‘–!

Christmas is a celebration to remember the importance of sharing, loving and including the most vulnerable.
Everyday Simama CBR works to continue and to spread these principles through its activities in the centres that involve children, their families and the whole community.

แด›สœแด‡ sษชแดแด€แดแด€ แด„ส™ส€ sแด›แด€า“า“ แดกษชsสœแด‡s สแดแดœ แด€สŸสŸ แด€ แด„สœแด‡แด‡ส€า“แดœสŸ แด€ษดแด… สœแด€แด˜แด˜ส แด„สœส€ษชsแด›แดแด€s.

13/06/2022

Kuna sababu nyingi zinazo sababisha ulemavu, kuna ajali, wakati wa ujauzito na kujifungua, kuna ulemavu wa kurithi.
Jamii imekuwa na imani mbaya juu ya ulemavu, lakini ulemavu si ugonjwa wala sio kikwazo cha mtu kutofikia malengo yake.
Watu wenye ulemavu wana hazi k**a watu wengine! ๐‘ฒ๐’‚๐’•๐’Š๐’Œ๐’‚ ๐‘ป๐’‚๐’๐’›๐’‚๐’๐’Š๐’‚ ๐’Œ๐’–๐’๐’‚ ๐‘บ๐’‰๐’†๐’“๐’Š๐’‚ ๐’š๐’‚ ๐‘พ๐’‚๐’•๐’– ๐’˜๐’†๐’๐’š๐’† ๐‘ผ๐’๐’†๐’Ž๐’‚๐’—๐’–, ๐‘ซ๐’Š๐’”๐’‚๐’ƒ๐’Š๐’๐’Š๐’•๐’š ๐‘จ๐’„๐’• ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐ŸŽ, ๐’Š๐’๐’‚๐’š๐’๐’†๐’๐’†๐’›๐’†๐’‚ ๐’‰๐’‚๐’Œ๐’Š ๐’›๐’๐’•๐’†!

There are many different causes of disabilities. It can be caused by accident, or during pregnancy and/or delivery, there are also inherited disabilities.
Society has sometimes wrong belieds about disability, but disability is neither a disease no a barrier for achieving personal goals.
Persons with disabilities have the same rights like everyone!
๐‘ฐ๐’ ๐‘ป๐’‚๐’๐’›๐’‚๐’๐’Š๐’‚ ๐’•๐’‰๐’† ๐‘ซ๐’Š๐’”๐’‚๐’ƒ๐’Š๐’๐’Š๐’•๐’š ๐‘จ๐’„๐’• ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐ŸŽ, ๐’•๐’‰๐’† ๐’๐’‚๐’˜ ๐’‡๐’๐’“ ๐’‘๐’†๐’“๐’”๐’๐’๐’” ๐’˜๐’Š๐’•๐’‰ ๐’…๐’Š๐’”๐’‚๐’ƒ๐’Š๐’๐’Š๐’•๐’Š๐’†๐’”, ๐’†๐’™๐’‘๐’๐’‚๐’Š๐’ ๐’‚๐’๐’ ๐’•๐’‰๐’†๐’Š๐’“ ๐’“๐’Š๐’ˆ๐’‰๐’•๐’”!

10/06/2022

Ushirikiano unamaanisha kufanya kazi kwa pamoja na kuchagia kwenye kufikia malengo. Simama CBR inajumuishwa kwenye miradi ya ushirikiano wa kimataifa ambayo unatoa fursa ya uwepo wa wafanyakazi kutoka nje ya Tanzania kwa ufuatiliaji na usimamizi. Kujumuishwa kwenye miradi k**a hii ni muhimu sana kwa Programu yetu kwa sababu inasaidia mazungumzo na ufadhili wa shuguli zipya k**a vile uchunguzi wa lishe ya watoto wetu ulioanza mwezi wa pili mwaka huu. Asanteni kwa shirika lisilo la kiserekali Comunitร  Solidali nel Mondo na partner yake Gondwana.

Cooperation means working together and actively contributing to the achievement of a goal. SIMAMA CBR is included in international cooperation projects that ensure also expat workers in Tanzania for monitoring and management. The inclusion in these projects is very important for our Program because it facilitates intercultural dialogue and the financing of extra activities as nutritional screening of our children started in february this year. Thanks to our ONG partner Comunitร  Solidali nel Mondo and its partner Gondwana.

05/04/2022

Kwenye utawala wetu mwaka huu tuna pia Emmanuel Andrew! Huyu ni mratibu msaidizi wa SIMAMA CBR na anafanya kazi ya kumsaidia mratibu mkuu katika shughuli zote za ofisini na katika vituo vyetu. Tunamshukuru kwa ushirikiano wake na tunamkaribisha sana kwenye familia yetu!

This year we improve also our administration office! Emmauel Andrew is the new assistant coordinator of Simama CBR, coordinator of activities and he works to support office's and centers. Thank Ema for your work and Welcome to our family!

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Mbeya