Expert Trading Tz
Wauzaji wa vifaa vya umeme, ujenzi na kilimo. tunatambulika kwa kusambaza bidhaa zenye ubora wa hali ya juu
kwa bei nafuu
Chauff cutter.. 0788373743
Seed planter ni Kifaa cha kupandia mbegu za aina ya mahindi, maharage, karanga, mpunga, alizeti n.k
Tunazo za kupandia mbegu pekee na tunazo ambazo zina uwezo wa kuwekea na mbolea
Karibu
Expert Trading Tz
0788373743
*⚡ALTERNATOR YA UMEME YA NGUVU NA UHAKIKA! ⚡*
Unahitaji kuzalisha umeme kwa diesel engine yako?
Sasa imepatikana Electric Alternator imara yenye uwezo mkubwa wa kazi nzito!
✅ Inafaa kuunganishwa na Diesel Engine
✅ Inazalisha umeme thabiti na wa kuaminika
✅ Imetengenezwa kwajili ya umeme mkubwa na matumizi ya muda mrefu
Inapatikana kwa ukubwa tofauti:
*⚡ 7.5 KV
*⚡ 10 KV
*⚡ 15 KV
*⚡ 20 KV
*⚡ 30 KV
Inafaa kwa matumizi ya:
🔸 Migodini
🔸 Viwandani
🔸 Mashambani
🔸 Biashara mbalimbali
Chaguo sahihi kwa wanaohitaji ufanisi wa kuzalisha umeme!
📍 Expert Trading TZ
Boma Road, Morogoro
📞 *0788373743*
Mikoani tunatuma kwa usalama na kwa uaminifu
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Boma Road
Morogoro
255
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 17:30 |
| Tuesday | 08:00 - 17:30 |
| Wednesday | 08:00 - 17:30 |
| Thursday | 08:00 - 17:30 |
| Friday | 08:00 - 17:30 |
| Saturday | 08:00 - 17:30 |
| Sunday | 08:00 - 13:00 |