Farajabeauty_
Ni wa uzaji wa vipodozi asili na tunatoa ushauri na bidhaa sahihi kuhusu ngozi yako
12/07/2026
Products za Brembo zipo hapa 🔥🔥
Brembo magic soap inayo tibu chunusi, madoa, harahara, na kuisafisha ngozi vizuri 💰Tsh. 15,000 tu
Brembo scrub, vua gamba itayokupa ngozi nyororo na kukusaidia products utazopaka zipenye vizuri kwenye ngozi na kukupa matokeo unayohitaji 💰Tsh. 20,000 tu
08/07/2026
Gentle Cleanser isiyoharibu pH ya ngozi, bali husaidia kuibalance na kuituliza 😍✨
✅ Inafaa kwa sensitive skin (oily skin, na combination skin)
💰25,000 tu
📍Tunapatikana MOROGORO mjini (stend ya MZUMBE/MLALI, karibu na SOKO LA KINGALU)
📞 0762253177 (Piga/sms/whatsapp)
📦TUNAFANYA DELIVERY🌎
06/07/2026
Usingizi wa masaa 6–8 si wa kupumzika tu...ni muda ambao ngozi yako hujirekebisha, hutengeneza collagen, huimarisha skin barrier, na kupunguza breakouts.
✅Ukiipa ngozi usingizi wa kutosha, itakulipa afya njema na glow yake😴✨
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Morogoro