Daniel Masubo
Iwe Unataka Mafanikio ya Kifedha, Afya Njema, au Kuwa na Mahusiano Bora. Tutakusaidia Uwe Bora Zaidi!
10/01/2024
Ujinga ni kukosa maarifa, ujuzi, ufahamu, na uelewa. Katika maisha haya, unachokijua ndiyo ulinzi wako. Mafanikio yako katika kufanya jambo lolote yanategemea ufahamu wako katika jambo hilo. Pasipo maarifa sahihi mtu anakosa nguvu za kufanikisha mambo. Ujinga ni sawa na uhanithi.
!
09/01/2024
Mwandishi Napoleon Hill anasema neno elimu, chimbuko lake ni kutoka katika neno la kilatani "educo" lenye maana ya kuendeleza kitu kutoka ndani. Kwa mantiki hii, elimu kwa mtu ni zaidi ya kwenda shule kujifunza kuandika, kuchora, kusoma, au kuhesabu herufi na namba. Kuendeleza kilicho ndani ya mtu ni elimu bora zaidi kuliko ya kumfundisha kuhesabu, kuandika na kusoma herufi na namba.
!
04/01/2024
Kuna watu wa kuepukana nao ili kujiunga na makundi ya watu sahihi watakaokujenga na kukuongezea hamasa ya kupambana vita dhidhi ya umaskini. Kuna fıkra, akili, mitazamo na mawazo ya kimaskini ambavyo kila mtu anatakiwa kuepukana navyo ili kupambana vita ya umaskini. Kuna maneno na mazingira ya kuepukana nayo k**a kweli mtu unataka kushinda vita dhidhi ya umaskini.
!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the school
Website
Address
Migombani
Morogoro
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 01:30 |
| Tuesday | 08:00 - 01:30 |
| Wednesday | 08:00 - 01:30 |
| Thursday | 08:00 - 01:30 |
| Friday | 08:00 - 01:30 |
| Saturday | 08:00 - 01:30 |