rommy247
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from rommy247, Shopping & retail, Morogoro.
Mwalimu Charity Akitanda, pamoja na kucheza na chaki alitafuta WHY yake....
WHY yake ilianza pale mama yake alipokua mgonjwa na ameshazunguka hospitali kubwa na maendeleo ni machache...
Alianza kumtibia mama, mama akiwa anatengemaaa mwisho wa mwezi wa CHARITY ilikua ni furaha ya kuingiziwa BONUS CHECK ( ni mshiko wa ziada hata k**a unatumia bidhaa hufanyi biashara)
Alipopona mama, na CHARITY akaamua aanze biashsra serious. Kwa muda wa ziada alifanya biashara hii huku akiendelea na UALIMU
FAIDA ALIZOPATA NI 3 katika biashara hii...
1. Faida ya mauzo kila alipouza bidhaa
2. Fauda ya BONUS CHECK ( pesa mbali na mauzo) hii huingia kila mwezi
3. Faida ya INCENTIVE ( motisha) k**a hapo amesafiri akiwa amelipiwa kila kiti k**a kumpongeza kwa kazi nzuri ya biashara yake....
Kuna motisha ya pesa ya VOCHA, PESA n.k
Wewe, leo kwa muda wa ziada unafanya nini na Je unabiashsrs inayokulipa faida mara 3
K**a, unatamani kujenga kipato chako kwa muda wa ziada bila kuacha unachofanya tuma ujumbe 0678-992566
Na whatsapp 0625 939925
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Morogoro