Timotheo Kibawa

Timotheo Kibawa

Share

Nothing to lose, accept changes.

26/06/2024

Fahamu zaidi

SAIKOLOJIA: Mtu anayependa kuzungumzia kuhusu watu wengine akiwa na wewe,hivyo ndivyo anavyokuzungumzia wewe akiwa na watu wengine.

02/10/2023

Mithali 3:28-31
28 Usimwambie jirani yako, Nenda, urudi halafu, na kesho nitakupa; Nawe unacho kitu kile karibu nawe.
29 Usiwaze mabaya juu ya jirani yako, Ambaye anakaa karibu nawe na kujiona salama.
30 Usishindane na mtu bila sababu, Ikiwa hakukudhuru kwa lo lote.
31 Usimhusudu mtu mwenye jeuri, Wala usiichague mojawapo ya njia zake.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Morogoro?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Ulaya-Nyameni
Morogoro