Bora Open School Morogoro

Bora Open School Morogoro

Share

Bora Open School is an effective and competitive Open School and Distance Learning for QT&RESISTERS

23/04/2025

Zaburi 1:1-3

Mimi ni MTI uliopandwa kando ya mto, JANI langu halinyauki wakati wote. na kila nilifanyalo linafanikiwa..

* Jani langu halitegemei mvua ili lichanue (Sitegemei mshahara ili niishi)

* Ustawi wangu ni wa MSIMU mzima wa mwaka ( jua na masika)

*Siishi kwa mifumo inayowatawala wengine, mimi mfumo wangu ni wa kimbingu.( Neno la Mungu/ Sauti ya Mungu kwangu)

*Sitegemei TUME huru ili kushinda, Mungu atanitangaza mioyoni mwao hata k**a hawataki.

*Jua langu sio jua lao, kwangu ni MWANGAZA wa kuziona fursa kwao ni Moto wa kuwakausha.

*Utafutaji wangu sio k**a wao Mimi NARITHI baraka za Ibrahimu wao huaswa ili kufanikiwa.

"I'M BELONGS TO JESUS"

20/04/2025

Adui mkubwa wa mtu, uko kwa mtu anayempotezea muda....

19/04/2025

Kufanya kazi kwenye kiwanda cha sabuni ya maji , hakumfanyi mtu kuwa msafi, Mpaka amechukua hatua ya kuchukua maji na kuamua kuoga...

Yakobo 1:22-25.

Photos from Bora Open School Morogoro's post 27/02/2025

Yeremia 1:
(Jeremiah)

5. Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.
---------------
"Before I formed you in the womb I knew you; Before you were born I sanctified you; I ordained you a prophet to the nations."

Maiha yetu yamebeba kusudi la Mungu ambalo llazima litatimia tu....

26/02/2025

"The mother of idiots is always pregnant 🤔

You can ignore the bogus electoral system but you cannot ignore the consequences of ignoring the bogus electoral system "

Want your school to be the top-listed School/college in Morogoro?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Morogoro