Gulio
Tangaza biashara, huduma na bidhaa zako kupitia ukurasa huu ili kupata matokeo ya uhakika.
19/01/2021
MAFUTA BORA YA MAWESE KWA BEI NAFUU
Nauza mafuta mazuri Sana ya mawese kwa Bei poa kabisa lita moja shs 3000 kwa wakazi wa Dar es Salaam nakuletea popote ulipo kwa makubaliano na mteja.
Kwa mawasiliano zaidi nipigie kwa namba 0712 175 475 au 0787 135 700
05/09/2020
- After market exhaust(Subaru original )
- Android 10 inch tv support ( google map, youtube,GPS,)
- Cross sport seat
- Alloy wheel
-Body kit
- Hid light
- Clean condition
For more information plz contact this number 0755 015 662
13/11/2019
Sabuni ya mimea asili iitwayo Kibwe Herbs s
Skin Soap kwa matatizo yote ya ngozi k**a vile:
Chunusi, vipele vya aleji, utangotango, mapunye.
Inatengenezwa kutokana na mmea wa msasa, gotukola, mbofu na mkorikori.
Zinapatikana kila mahala Tanzania.
Wasiliana nasi kupitia: 0716 600 969
Toyota ractis 2006
1. Full music system
2. Sport rim 16 inch new tire wide
3. Led installed
4. reverse camera
5. Dvd
6. Low mileage (47000km)
7. Hid light (booster light)
Bei: Tsh 11.5 million
Kwa mawasiliano:
0755015662
Iko Dar Es Salaam.
10/05/2019
EMMY KIDS FASHION
Kwa mahitaji maalum ya watoto k**a vile:
Nguo za watoto
Viatu vya watoto
Pampers za watoto
Mafuta ya watoto
Zana na vifaa vyote vya watoto
Fika kwa Emmy Kids Fashion. Wanapatikana Kariakoo sokoni mtaa wa Nyamwezi jijini Dar es Salaam. Mikoani pia utapata huduma k**a kawaida.
Wasiliana nao kwa: 0752904525
WhatsApp: 0713855565
Instagram: emmy-kids-fashion
Click here to claim your Sponsored Listing.
Telephone
Website
Address
Morogoro
255