Hae Bakery

Hae Bakery

Share

Hae Bakery Watengezaji, Wauzaji na Wasambazaji wa Bites Aina zote na Keki Aina zote

25/10/2025

Asante Mungu kwa ulinzi wako wa siku yaleo maana ijumaa yangu imebarikiwa katika Bwana na Bwana ukaruhusu kupona matunda ya siku ya Leo AmenπŸ™

24/10/2025

Hakuna kitu kinasikitisha na kuumiza mbele za Mungu k**a binadamu kutupa mtoto chooni, vichakani ,kwenye Maji ni mbaya Sana na nidhambi hii itakutafuna daima na kingine kutoa mimba bado huwezi itwa Binti bali mama wa marehemu nawasikitikia Sana mfanyao haya yote hamuoni aibu,hamuogopi laana pale umemtupa mimi nikamuokota au msalimia akamuokota na kumlea alikuwa mkubwa huoni wivu au huoni wivu wenzako wanavyobeba na kujivunia kuitwa Mama acheni jamani hata k**a maisha magumu Lea ukichoka niletee Mimi mlango kwangu Ila usije kuchukua daima nawapenda Sana Wamama na WA baba waliojua umuhimu wao na wale wasiojua wajue Sasa ili kujivunia daima hulka zaoπŸ™πŸ™β€οΈ

24/10/2025

Mmeamkaje wapendwa katika Bwana Mimi nawasalimia πŸ™Œ

23/10/2025

Nawasalimia wapendwa

23/10/2025

ained 27 followers in the past 90 days! Thank you all for your continued support. I could not have done it without you. πŸ™πŸ€—πŸŽ‰

03/06/2024

I gained 17 followers, created 21 posts and received 38 reactions in the past 90 days! Thank you all for your continued support. I could not have done it without you. πŸ™πŸ€—πŸŽ‰

30/05/2024

Nani Yuko tayari Kujifunza Upishi wa Keki?

Fuatilia hapa chini.

30/05/2024

"Happy Birthday Future Husband" ❣️
... Ukiwa na uhitaji wa keki aina mbalimbali kwa ajili ya matukio mbalimbali k**a vile;
Keki za Sherehe za Harusi Keki za Sherehe za Siku za Kuzaliwa Keki za Kipaimara. Keki za Send-off. Keki za Sherehe za Mahafali mbalimbali.

Usisite kuwasiliana nasi Hae Bakery Ili ujipatie Keki nzuri na kwa radha uitakayo kwa gharama nafuu zaidi.

Wasiliana nasi sasa kwa namba +255 750 607 944 au +255 695 179 803.



Irene Israel Msemwa Irene Msemwa

29/05/2024

"Mwenye Ujuzi halali Njaa" Si Mara yako ya kwanza kusikia msemo huu.

Ukweli Ni kuwa ukiwa na ujuzi wowote ule, una uhakika wa Kuishi

Moja ya ujuzi muhimu Sana kwa Sasa Ni "Ujuzi wa Mapishi" Ufahamu wa kupika aina mbalimbali za vyakula na kwa mapishi ya 'dizaini' nyingi tofauti tofauti.

Hae Bakery " tunakusaidia kupata Ujuzi wa Kupika Aina mbalimbali za keki.

K**a ujuavyo mahitaji ya keki kwa sasa ni makubwa sana. Hivyo kufahamu na kuwa na ujuzi wa kupika keki ni FURSA kubwa kwako na uhakika wa kutengeneza 'kitita' Cha kutosha zaidi.

Lakini inakupa fursa ya Kujiajiri, kujitegemea na kuyaendesha maisha yako wa wepesi zaidi.

Karibu darasani kwa Njia ya WhatsApp (Online Classes), Ana kwa ana (Live classes).

Tuandikie kwa;

+255 750 607 944 (Sms & Calls)
+255 628 396 474 (WhtasApp)
Morogoro Mjini.

28/03/2024

Offer Kubwa kwa ajili yako!!

Jipatie Kitabu Cha "Mwongozo wa Upishi wa Keki kwa wanaoanza"

Leo utakipata kwa Bei ya Ofa ya Tsh 5000/= kwa watu 5.

20/03/2024

πŸ”₯πŸ”₯[ MPYA]πŸ”₯πŸ”₯
"Mwongozo Kamili wa Upishi wa Keki: Fursa ya Pekee ya Kujifunza na Kufurahia Sanaa ya Upishi wa Keki"

Keki za kuvutia, tamu na za kupendeza zinaweza kuwa karibu yako!

Tunakuletea kitabu cha pekee, "Mwongozo wa Upishi wa Keki kwa Wanaoanza," kilichojaa maelekezo rahisi na ya kina ya kutengeneza keki za kushangaza.

Je, wewe ni mpenzi wa kupika na unapenda kujifunza mapishi mapya?

Au labda ni mara yako ya kwanza kabisa kujaribu kupika keki? Kitabu hiki ni kwa ajili yako!

Kimeandikwa kwa lugha rahisi na kinatoa mwongozo kamili kuanzia hatua za awali hadi hatua za juu za upishi wa keki.

Hivyo, hautahitaji kuwa na uzoefu wowote wa awali kuweza kupika keki zako za kipekee.

Vipengele muhimu vya kitabu hiki ni pamoja na:

1. Maelezo ya kina kuhusu vifaa na viungo muhimu katika upishi wa keki.

2. Miongozo ya hatua kwa hatua inayoelezea mchakato mzima wa kutengeneza keki.

3. Mapishi mbalimbali ya keki k**a vile keki ya Vanilla, keki ya chungwa, keki nyekundu ya Velvet (Red Velvet cake), keki ya zebra, keki ya ndizi, keki ya n**i, keki ya chokoleti, orange cake, zebra cake, keki ya karoti n.k. na hata keki maalum za sherehe na hafla maalum.

4. Mbinu za mapambo ya keki na vidokezo vya kufanya keki yako ionekane ya kitaalamu na yenye mvuto.

5. Vidokezo vya kuhifadhi na kudumisha ubora wa keki zako.

Njia rahisi ya kupata nakala yako ya "Mwongozo wa Upishi wa Keki kwa Wanaoanza" ni kutuandikia ujumbe kwa WhatsApp 0628 396 474

Bei ya ofa ya kitabu hiki ni Tsh 20,000/= (badala ya Tsh 25,000/=)

Hii ni fursa nzuri ya kupata maarifa ya thamani na kujifunza sana kuhusu upishi wa keki.

Wahi sasa na usikose nafasi ya kuwa mpishi bora wa keki!

Jinsi ya Kununua

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp kwa nambari 0628 396 474. Tuma fedha kwenda nambari ya MPESA +255 750 607 944 jina IZRAEL LULANDALA

Baada ya kupokea malipo yako, kitabu Cha nakala tete (soft copy utatumiwa kupitia WhatsApp au barua pepe yako.

Usikose ofa hii Ni ya muda mfupi.

Want your business to be the top-listed Bakery in Morogoro?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Sultan Area
Morogoro