Honey Spring
Wauzaji wa ASALI YA NYUKI WADOGO na WAKUBWA. We sell genuine STINGLESS and STINGING BEES HONEY.
20/03/2026
EID MUBARAK
Asali OG kwenye package za kijanja!!
01/10/2025
ASALI NA JERAHA LA MOTO!!
JE WAJUA??
Asali SIO njia sahihi ya kutumia k**a HUDUMA YA KWANZA (FIRST AID) kwa mtu alieungua MOTO.
Unapopaka asali unazuia joto kutoka nje na kupelekea kuzidi kuungua ndani kwa ndani.
FIRST AID nzuri ni kumwagia maji ya baridi yanayotiririka kisha ndio utumie ASALI k**a tiba.
Tunaomba USHARE,LIKE na COMMENT ili kuwajuza watu wengi zaidi
Tuna asali ya nyuki wadogo
1kg-30, 000
340-12,000
Nyuki wakubwa
1kg-12, 000
7kg-70, 000(dumu)
Kwa mahitaji ya asali wasiliana nasi kupitia 0718353638 au whatsapp https://wa.me/message/N4S6ZWXNMQ53M1.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the practice
Telephone
Website
Address
Kilakala
Morogoro
6094