Country talk

Country talk

Share

Vijana na uchumi

30/06/2020

Good night guys

21/06/2020

Have a good night peoples

17/12/2018

Consolata pre& primary school iliyopo wilaya ya Njombe-Lupembe katika kijiji cha Wanginyi inatangaza nafasi za masomo kwa wanafunzi wa awali kuanzia miaka 4, na watoto wa darasa la kwanza kwa mwaka 2019, pia kuna nafasi ya kuhamia kwà darasa la pili, la tatu, la tano na la sita, Consolata pre&primary school ni shule ambayo inafundisha kwa mtaala wa kiingereza ni shule ambayo inalea mtoto katika maadili mema, mazingira ya shule ni mazuri sana kwaajili ya mtoto kusoma, Consolatha ilifanya vizuri katika matokeo yake kwani ilikuwa ya tatu kimkoa na ya kwanza kiwilaya, mlete mwanao Cnsolatha kwa elimu bora na mafanikio mema

Want your school to be the top-listed School/college in Morogoro?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Mawenzi
Morogoro
4755