Ahmad Machaku
Hapaa unakutana na taarifa zinazinihusu na kuwahusu wengine, za kijamii, mada nk
27/05/2026
Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro Mh. Dr. Jamillah Hassan Miyonga , anawatakia Eid Mubarak waislam na Watanzania wote Kwa jumla
18/05/2026
Offer ya Sikukuu ya Eid kutoka Morogoro.
Fika Sasa Dukani kwetu Morogoro mzigo mpo wa kutosha Sasa .
siku zote Tupo kuhakikisha Mwanao anatokelezea Kwa kiatu Cha kijanja haswa katika msimu huu wa sikukuu.
Unajua Viatu vya vipoje?
✅ Viatu vyetu ni original
✅ Size zote zinapatikana kuanzia watoto wadogo hadi wakubwa.
📍 Tupo: Jengo la Mangesho, Mtaa wa Uhuru, Morogoro Mjini
📞 Mawasiliano: 0743 744 878
📲 Instagram:
"Wahi sasa umfurahishe mtoto wako "
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the establishment
Telephone
Website
Address
Morogoro