Nyaka Data
pata habari mbalimbali na motomoto za bongo uswahilini apa tz
31/01/2026
UKIFA, Mke,watoto, na wazazi wako watalia sanaaaa...
Marafiki watalia lakini baada ya siku 40 watakusahau na kuendelea na kazi zao...
Hii familia yako itaingia kwenye Umasikini mkubwa mno k**a utakua hujafanya hata mambo yafuatayo....
UKWELI MCHUNGU
Familia nyingi haziporomoki kwa sababu ya kifo chenyewe
👉 zinaporomoka kwa sababu ya maandalizi duni.
Kifo hakiharibu familia.
Kutokuwa na mfumo ndiko kunaharibu.
1. JENGA KIPATO KISICHOKUFA PAMOJA NA WEWE
Usijenge maisha yanayokufa ukifa.
• Mshahara hufa na wewe
• Kibarua hufa na wewe
• Biashara inayokutegemea 100% → hufa na wewe
Suluhisho: 👇
• Jenga biashara yenye mfumo
• Mapato yanayoendelea (rent, dividends kupitia hisa, biashara inayoendeshwa na watu wengine)
✍️ K**a kipato hakipo bila uwepo wako → familia yako iko hatarini.
⸻
2. WEKEZA (SIO KUHIFADHI TU)
Akiba ni ya muda mfupi.
Uwekezaji ni ulinzi wa vizazi.
• Ardhi inayolima au kukodishwa au kuuzwa baadae
• Nyumba ya pango
• Hisa, mifuko ya uwekezaji k**a UTT_Amis
• Biashara inayokua na ya uhakika
👉 Kosa kubwa wanalofanya watu wengi ni kuacha pesa, si mfumo wa pesa kuendelea kuingia.
Kanuni:
Mtoto hawi tajiri kwa kurithi pesa — anakuwa salama kwa kurithi uwekezaji.
⸻
3. USIACHE FAMILIA BILA UJUZI (SKILLS)
Hiki ndicho kipengele kinachopuuzwa zaidi.
Hasa wanaume, suala la kuacha mke wako nyumbani hajui chochote kuhusu biashara ni hatari…
• Mke asiye na skill → ataanguka
• Watoto wasio na skill → watakuwa maskini hata wakipewa mali
👉 Uliza sasa:
• Je mke wako ana skill ya kuingiza kipato?
• Je watoto wako wanafundishwa ujuzi au darasani tu?
Ujuzi muhimu:
• Biashara
• Digital skills
• Usimamizi wa fedha
• Mawasiliano & mauzo
Skill ni bima ambayo haiwezi ku-expire.
⸻
4. ANDIKA NA WEKA WAZI TAARIFA ZA MALI
Familia nyingi hupoteza kila kitu sio kwa sababu hawakuwa nacho, bali hawakujua.
• Mali hazijulikani
• Akaunti hazijulikani
• Hati zimefichwa kichwani mwako
👉 Matokeo:
• Migogoro
• Mali kugawiwa vibaya
• Watu wa nje kunufaika
Fanya hivi:
• Orodhesha mali zako
• Eleza mapato yanatoka wapi
• Weka mtu wa kuaminika ajue
✍️ Siri zako zikifa na wewe, familia yako italipa gharama.
⸻
5. JENGA MFUMO, SIO MIMI
Familia nyingi hufa kiuchumi kwa sababu kila kitu kilikuwa:
“Uliza baba”
“Baba anajua”
“Baba atafanya”
Ukiwaondoa baba → mfumo unaondoka.
👉 Badilisha:
• Wewe → mfumo
• Wewe → taratibu
• Wewe → watu
Wewe sio mpango. Mfumo ndio mpango.
⸻
6. USIFUNDISHE KUTEGEMEA — FUNDISHA KUJITEGEMEA
Upendo mwingi usio na hekima huua familia.
• Kumlipa kila kitu mke
• Kumlinda mtoto asihangaike
• Kuwaficha ukweli wa pesa
👉 Matokeo:
Ukiwaondoka → wanaanguka vibaya.
Fanya hivi:
• Wape majukumu
• Waelewe pesa zinatoka wapi
• Waone changamoto kabla hazijawaangamiza
✍️ Usiwaandalie maisha rahisi — waandalie uwezo.
⸻
7. PANGA KIFO CHAKO K**A UNAVYOPANGA MAISHA
Hili ni gumu kusikia, lakini ni la kiume na la kiongozi.
• Nani ataendesha nini?
• Nani atasimamia nini?
• Nani atatoa maamuzi?
👉 Kifo hakisubiri uivae ujasiri.
Mtu anayepanga kifo chake vizuri, anaishi kwa heshima.
⸻
MWISHO
Familia yako haitakumbuka:
• Ulichosema
• Ulichowaahidi
Watakumbuka:
• Ulichowaachia
• Ulichowafundisha
• Ulichowajengea
👉 Urithi sio pesa.
👉 Urithi ni mfumo wa kuendelea
28/04/2024
: Inadaiwa kuwa tabia ya kuoga kila siku haina manufaa yoyote kwa afya ya binadamu, bali watu hufanya hivyo, wakihofia kutengwa na jamii, kwa sababu ya kunuka.
Hoja hiyo imetetewa na wataalamu mbalimbali akiwemo Julie Russak, ambaye ni Daktari wa Ngozi, huko Manhattan, nchini Marekani ambapo ameeleza kuwa tabia ya kuoga mara kwa mara, inaweza kuondoa bakteria wa ulinzi wanaokaa kwenye ngozi ya mwanadamu.
Hoja hiyo pia iliwahi kutetewa na mtaalamu wa masuala ya Kemia Bw.David Whitlock, ambaye aliacha kuoga kwa muda wa miaka 12 na kuchagua kujipulizia marashi yenye mchanganyiko wa bakteria wa ulinzi wa ngozi, ambapo aliwaasa watu kuacha kuoga ili kuwalinda bakteria hao muhimu kwa afya ya binadamu.
Tuambie unafikiri unaweza kuishi bila kuoga na kutegemea marashi pekee k**a mbadala wa kuoga?
27/02/2024
HATIMAYE TANZANIA YAANZA MAJARIBIO YA TRENI YA KWANZA YA UMEME AFRIKA MASHARIKI NA KATI
Tanzania leo imeandika historia kwa kufanya safari ya
kwanza ya majaribio ya treni ya umeme kutoka mji wa
kibiashara wa Dar es Salaam hadi mkoa jirani wa
Morogoro.
Majaribio hayo yanafuatia kukamilika kwa ujenzi wa reli ya kisasa ya kiwango cha 'Standard Gauge' kati ya
maeneo hayo mawili.
Hiyo ni treni ya kwanza inayoendeshwa kwa umeme kwenye kanda ya Afrika Mashariki na Kati.
Neno moja la pongezi kwa taifa hilo la Afrika
Mashariki.
📸: Kwa hisani ya Shirika la Reli Tanzania
FIVE TYPES OF WOMEN WHO CAN'T MAINTAIN A MARRIAGE
1: The Most Beautiful Women
-It takes holyspirit only to make a beautiful woman to be in a marriage.
-They are on high demand
-Many beautiful ladies are still single, and you keep wondering what is keeping them
-They use their beauty as a capital for money making
2:. The Most Educated Women
-A woman having a degree, masters, PhD to have to stay in a marriage, its the grace of God.
-Their qualifications makes them independent.
-Visit offices in the companies, most high ranked women and rich are single, divorced.
3: WOMEN FROM RICH FAMILIES
-Women raised under rich families find it difficult to get married because they want same environment they grew up with it a marriage.
-They want no on to advise them
4: The Most Anointed Women Of God
- Most women with the calling of God have no husbands ,either divorced
-No time to do house works
-No time to care for their husbands
-Their husbands can't advise them because they only listen from the holyspirit.
You will find a man with a phd goes to the village and marries a grade 5 woman,what is he looking for ??? Because that is the one that would understand and respect him better.
Speaking in tongues will never make you a wife, only a submissive woman will stay in a marriage and not the beauty and the like.
I know you will oppose this message, but read it again and again before you oppose it
5. Drunkards or clubbing women.. most men don't want to settledown with these kind of women but if they are to go for a one night stand, they will.. thats how some of these girls have kids that they dont even know who the father is.. just for hit and run.
09/11/2023
Mwanaume wa Nigeria auawa katika jaribio la hirizi ya kuzuia risasi
https://bbc.in/3MyrjQ6
09/11/2023
USAFIRISHAJI: Mkurugenzi wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania ( ), Jamila Mbarouk amesema Majaribio ya kuanza kuitumia njia ya Reli ya kutoka kwenda inatarajiwa kuanza hivi karibuni kwa kuwa Kichwa cha Treni kimeshawasili Bandarini
Amesema “Kichwa cha Treni cha kutumia SGR kipo Bandarini kinatarajiwa kutoka ndani ya wiki hii na hilo likikamilika majaribio yataanza hivi karibuni. Changamoto ilikuwa ni kichwa, Wananchi walikuwa na shauku ya kuona majaribio yakianza lakini hilo limekamilika, kichwa kipo kimoja na vingine vitafuata.”
Soma https://jamii.app/TreniYaSGR
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Morogoro