KKKT MLIMA KOLA

KKKT MLIMA KOLA

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from KKKT MLIMA KOLA, Church, Morogoro.

29/12/2025

Ninachukua fursa hii kumshukuru sana Bwana Mungu Aliyetulinda na kututunza na kutuwezesha kuchukua kombe la timu ya football! Ndugu zangu, hata michezo ikichezwa kwa kumtanguliza Bwana, pia ni *jambo la kiroho!*
Hivyo ninawapongeza sana waandaaji wa mashindano haya, ninawapongeza wote waliohusika kuiandaa timu yetu, ninawapongeza walioifadhili timu yetu kwa namna yoyote ile, ninawapongeza washarika wote, na
SANA SANA, NINAWAPONGEZA SANA WACHEZAJI WETU WALIOCHEZA KWA BIDII KUBWA, BILA KUKATA TAMAA!

Ushindi huu ni wetu sote, na kwa pamoja tunamtukuza Bwana kwa ushindi huu.
Hakika tutaandaa siku ya kuwapongeza mashujaa wetu.

Ninawaombea wachezaji wetu na vijana wote *mzidi kuimarika kiroho na katika michezo!*

Baada ya kupokea kombe, tulirudi Madhabahuni kumshukuru Bwana πŸ™πŸ»

Bwana Mungu Azidi kutubariki sana sisi soteπŸ™πŸ»

(Ni maneno ya Mchungaji Kiongozi ).

28/12/2025

*SEMINA YA NENO LA MUNGU* πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
_KKKT MLIMAKOLA_

*Jumapili-Jumatatu* 28-29/12/2025
Atahudumu Mtumishi *Mwl. Emilian Katubayemo* _saa9:30Alasiri-12:00Jioni_

*Jumanne-Jumapili* 30/12/2026-04/01/2026 pAtahudumu mtumishi *Mwl.Ahadi Mwambene*

Muda:*9:30Alasiri-12:00Jioni*

Karibuni sana katika semina hii kubwa ya kumaliza mwaka 2025 na kuanza mwaka2026 wapendwa.

*Njoo tuombe pamoja, njoo upokee maarifa na Mungu akubariki sana*

Photos from KKKT MLIMA KOLA's post 23/12/2025

Kumbukumbu za ibada ya Jumapili

Photos from KKKT MLIMA KOLA's post 23/12/2025

Mkono wa Pongezi kwa waliofanikisha Darasa la kipaimara katika kipindi chote cha mafundisho.

Photos from KKKT MLIMA KOLA's post 23/12/2025

Kumbukumbu za Ibada ya Kipaimara

Photos from KKKT MLIMA KOLA's post 21/12/2025

Ibada ya Kipaimara

Photos from KKKT MLIMA KOLA's post 21/12/2025

Ibada ya kipaimara

Photos from KKKT MLIMA KOLA's post 21/12/2025

Ibada ya Kipaimara KKKT USHARIKA WA MLIMA KOLA

21/12/2025

Ibada ya Kipaimara Usharikani

10/12/2025
Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Morogoro?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Morogoro