Pastor Elisha M Mapande
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Pastor Elisha M Mapande, Public Figure, Moshi.
05/12/2025
USIMALIZE MAOMBI YAKO K**A HUJAFANYA HAYA.
1.Adui ajue wazi wazi k**a una mtegemea Mungu aliye hai kwa asilimia 100%
2.Tangaza mbele ya adui yako vile utakavyo mpiga na kumshinda kabla ya vita halisi.
3.Ushindi wako uwe na utukufu kwa Mungu wako na sio vinginevyo.
1 Samweli 17:46
[46]Siku hii ya leo BWANA atakuua mkononi mwangu, nami nitakupiga, na kukuondolea kichwa chako, nami leo nitawapa ndege wa angani na wanyama wa nchi mizoga ya majeshi ya Wafilisti, ili kwamba dunia nzima wajue ya kuwa yuko Mungu katika Israeli.
PASTOR ELISHA MAPANDE
KHOEM BRANCH SAME.
ABUDU NASI KILA JUMAPILI.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Moshi