Dalali Moshi
We sell cars, lands, houses and rent a houses in Moshi Kilimanjaro!
01/04/2025
KIWANJA KINAUZWA MOSHI!!
Location; Kibosho road Moshi, Sambarai
karibu kabisa Na Kimaroroni Inn Lodge,
MITA 500 kutoka Barabara ya Lami.
Kiwanja kina ukubwa wa Nusu heka (square meters 2450)
Huduma zote za kijamii zipo k**a maji, umeme, barabara etc
Kiwanja Kinafaa sana Kwa Makazi pia Biashara, mazingira ni mazuri na tulivu sana.
Price ni Milioni 55, Maongezi yapo.
Wahi Chap nichek 0717916034
11/06/2024
OFFER!! OFFER!!
NYUMBA INAUZWAA MOSHI!!!
Location; Uzunguni, Pumwani Moshi, kilomita 1 kutoka barabara kuu.
Nyumba bado haijakamilika k**a inavyoonekana.
Vyumba 3 vya kulala vikubwa(1 ni master.
Jiko kubwa
Sebule kubwa kabisa
Dining
Choo&bafu public
Stoo
Baraza kubwaa
Shimo la choo tayari
Umeme na Maji yapo 24hrs
Ukubwa wa kiwanja ni 20/25
PRICE NI MILIONI 25 TU!!,
Maelezo zaidi nichek 0717916034
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Moshi
167