Mkulima Market
Mkulima Market ni fursa ya kuonesha na kuuza bidhaa za kilimo, ufugaji na uvuvi
Vijana Mwanza Waishukuru Serikali na TADB kwa Msaada wa Zana na Mikopo ya Ufugaji Samaki\n\nVijana wafugaji wa samaki kwa njia ya vizimba katika Ziwa Victoria, jijini Mwanza, wameishukuru Serikali pamoja na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa kuwapatia vitendea kazi na mikopo ya kuendeleza miradi yao.\n\nWamesema msaada huo umekuwa mkombozi mkubwa, kwani umewezesha vijana wengi kuanzisha na kuendesha shughuli za ufugaji samaki kwa ufanisi, hivyo kuongeza ajira na kipato kwa wananchi wa Mkoa wa Mwanza.\n\nKupitia mikopo na vifaa walivyopatiwa, vijana hao sasa wana uwezo wa kufuga samaki kwa kiwango kikubwa zaidi, jambo linalochangia kukuza uchumi wa kaya zao pamoja na kuinua sekta ya uvuvi nchini.\n
Je nini Faida ya Maziwa kwa Kuku??
11/07/2025
.movement
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Kilimanjaro
Moshi