BlackEmpire Associate

BlackEmpire Associate

Share

UNGEPENDA KUWA BORA ZAIDI? Wewe Ni Kijana Na Ungependa Kuwa Bora Zaidi? UKO SEHEMU SAHIHI.!

18/02/2026

Muda mzuri wa mazoezi wakati wa Ramadhan:

1: Asubuhi jua linapotoka
-Bado una nguvu ya daku uliyokula.

2: Masaa mawili kabla ya jua kuzama
-Una faida ya kula baada ya kumaliza mazoezi.

3: Masaa mawili baada ya kula
-Una nguvu ya mazoezi baada ya kufungua.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Moshi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Moshi