Youth Inclusion & Development

Youth Inclusion & Development

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Youth Inclusion & Development, Nonprofit Organization, Moshi.

19/08/2022

*SENSA TUJIANDAE KUHESABIWA

Usiku wa kuamkia tarehe 23/8. *Ni siku ya Sensa* na itabaki kuwa tarehe rejea ya siku ya sensa. Kuhesabu Watu kutaendelea kwa takribani siku 6 hadi saba kwa kuzingatia tarehe rejea. ieleweke kuwa sensa haiwezi kukamilika kwa siku moja kwa nchi nzima. Hivyo hata ukipumzika inawezekana siku hiyo Kaya yako isifikiwe hivyo hakuna mantiki ya kupumzika kwa wale wanaofanya vibarua au Kazi za kila siku. Unachotakiwa kufanya ni kuorodhesha na kuandika kwenye karatasi watu wote watakaolala Kwenye kaya yako usiku wa kuamkia siku hiyo
Taarifa muhimu ni pamoja na:
1. Jina kamili (matatu)
2. Jinsia (me/ke)
3. Umri
4.Hali ya ndoa
5. Namba ya simu
6. Namba Nida
7. Taarifa za Elimu
8. Taarifa za hali afya
9. Umiliki wa Ardhi, Majengo, vifaa/rasilimali
10. Taarifa ya Shughuli za Kiuchumi
11. Mengineyo (uraia)

Pamoja na kuacha Taarifa hizo karani atakupigia simu kuhakiki Taarifa ulizoacha tafadhari toa ushirikiano.

*Mimi niko tayari kuhesabiwa . WEWE je*?

www.yid.yid.or.tz

Asante

wa.me

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Moshi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Moshi

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 15:00