Daniel Wamarwa
HR and leadership enthusiast
Public & motivational speaker. Content creator. Founder & owner Tanzanite Trekking & Safaris
Traffic wa Mchongo Dodoma 😃
24/10/2024
McWamarwa
WamarwaEvents 🎤
27/09/2024
Kazi ya jua ni kuangaza. Jua halibagui kuangaza kwenye kijiji hata k**a ni kidogo sana au kinapatikana sehemu ambayo inadharaulika kwa macho ya kibinadamu. Wakati wa jua kuangaza ukifika halibagui.
Ndivyo Mungu wa mbinguni alivyo, hata k**a unatokea wapi au watu wanasema nini juu yako na wamekukatia tamaa kiasi gani, kazi ya Mungu ni kubariki watoto wake pale muda unapofika wa kufanya hivyo.
Uvumilivu ni mgumu sana hasa pale ambapo hata njia haionekani na kelele za binadamu ni nyingi sana. Lakini wakati wa jua la Mungu ukifika jua linaangaza. Na haliwezi kuangaza k**a utakata tamaa mapema na kuhisi Mungu amekusahau.
Leo ngumu ni sababu na motisha ya kuitafuta kesho njema.
Neema ya Mungu ni kuu sana 🙏.
.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Danielwamarwa9@gmail. Com
Moshi