RADIO KILI FM 87.5MHz
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from RADIO KILI FM 87.5MHz, Radio Station, soweto moshi, Moshi.
13/09/2023
Staa wa muziki kutokea nchini Nigeria Rema kupitia wimbo wake wa "Calm Down" Remix aliomshirikisha Selena Gomez kutokea Marekani ameshinda tuzo ya "Best Afro Beats" usiku wa kuamkia leo kupitia MTV ambapo Hii inakua ni rekodi yake kuwa msanii wa kwanza kushinda kupitia kipengele hicho kipya kilochoongezwa msimu huu.
Mastaa wengine aliokua akishindana nao ni
Ayra Starr-Rush
Burna Boy-Its Plenty
Davido ft Musa Keys-Unavailable
Fireboy DML&Asake-Bandana
Libianca-People na
Wizkid ft Ayra Starr--2 Sugar
Cc@elisondjackson
28/08/2023
Wasikilize na .almasi.9 ndani ya ya Redio Kili fm 87.5Mhz muda huu
28/08/2023
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Address
Soweto Moshi
Moshi