CBE GRAM
It is an official page for CBE MEDIA which will be bringing to you daily updates,events plus other c
10/08/2022
8/8
CBE yaibuka washindi kwenye maonyesho ya wakulima nane nane.
04/02/2022
KONGAMANO LA FURSA KWA VIJANA.
Tanzania Higher Learning Institutions Students Organisation (TAHLISO), wanakuletea kongamano la fursa kwa vijana wa vyuo na vyuo vikuu Tanzania.
Venue: Rockcity Social Hall Mwanza
Time:11:00A.M saa 5 asubuhi
Entrance fee: 0000 hakuna kiingilio kabisa
Meza kuu watakuepo watu wanaoelwa maisha halisi ya kijana wa kitanzania. Na wataweza kukufungua kwa namna moja ama nyingine wewe kijana kuhusu fursa zinazopatikana na hatua zipi za kuzifuata ili uwaze kuzinyakua🏅.
Nadhani wengi wetu tunamfahamu MH.Kishimba alivyo real hapindishi pindishi mambo, na michongo anayo buku kidogo, sasa huyo ni mmoja tu kati ya sura zitakazokuwepo siyo kuongea na wewe bali kukupa wewe kijana fursa
Na namna za kupita nazo.
Jamani kwa wale vijana wezangu Rockcity social HALL ni pale pale maeneo ya CASK au rockcity mall usije dhani ni mbali au hupajui, hapana ni hapa hapa. Tukutane mapema tupate michongo,
FURSA K**A HIZI NI ADIMU SANA HAPA NCHINI usikubali kupitwa.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the university
Telephone
Website
Address
Mwanza
33201