Hadithi

Hadithi

Share

Njoo usuuze nafsi yako kwa kusoma simulizi murua, zilizojaa Mikasa ya kusisimua mapenzi, siasa, uhalifu, uchawi na Mikasa mingine ya kutisha huku ukiburudika.

18/01/2026

With Mbaraq Eriq – I just got recognized as one of their top fans! 🎉

31/12/2025

I got over 3,000 reactions on my posts last week! Thanks everyone for your support! 🎉

30/12/2025

Thanks for being a top engager and making it on to my weekly engagement list! 🎉 Str, Suzana Laizer, Suzy Vance, Zurieth Bashir, Timotheo Augustine, Aneth Fredrick, Mercy Kilungu, Salumu Sadock, Veni Ibrahim, Furaha Ramadhan, Joan Daniel, Emanuela Rogathe, Siwa Katundu, Theresia Lusanika, Mai Uhinga, Jennifer Samwel, Eliza Nziza, Joha Chata, Mary Mabawa, Medy Mohd-Az, Isher Rajabu, Naim Naim, Happy Albert, Imakulata Ndauka, Regina Ibrahim, Unique Qwinnie, Nipher Luchingo, Dgb Imhotep, Mwana Chakwana, Magret Nyanda, Nasra Nasri, Mwantumu Mwinyihaji, Hosana L George, Benah Benah, Ester Buyonga, Amayra Philbert, Esther Joram, Johnathan Ester, Loveness Christopher, Rehema Rajabu, John Shirima, Farida Acrey, Felistel Joseph, Anton Baladiga, Agripina Njowero, Rosemary Tresphory, Salma Simba Mkude, Oliver Chriss, Asha Sika, Vidda Hellenaomi

28/12/2025

Wanangu wawekezaji Leo tujaribuni hii. Acha tamaa halafu Bet Kistaarabu. Jumla ni Odds 4.5 Sportpesa Tanzania

28/12/2025

MAMA MKWE HANITAKI.

Wapendwa hamjambo? Nakuja mbele zenu kuomba ushauri.

Nimekywa kwenye mahusiano na mpenzi wangu kwa takribani miaka mitatu sasa.

Mimi na yeye tunapenda sana tena sana. Hatujawahi kugombana Wala kuzozana. Tunazungumza na kuelewana k**amarafiki.

Mpenzi wangu aliamua tuanze maandalizi ya kufunga ndoa. Yaani tuoane baada ya kufahamiana vya kutosha.

Alinitambulusha Kwa mama yake Kwa njia ya simu tukawa tunawasiliana na mama mkwe. Mama alikuwa mtu poa tunaongea tunacheka na kufurahi. Kwa muda unaokaribia mwaka.

Basi likizo hii ya mwezi wa 12 tukaamua sikukuu zetu tukazilie nyumbani kwao mpenzi wangu ili akakamilishe na utambulusho wangu na taratibu zingine zianze.

Wapendwa nilienda nikiwa na furaha mno ila mapokezi yangu baada ya kufika yakinikatisha tamaa.

Mama mkwe alitumpokea kijana wake wakasalimiana hakuonesha kuhangaika na Mimi. Nilijipendekeza kumsalimia akanitizama Kwa mshangao Kisha akauliza kwa dharau "Na huyu naye nani?" Lile swali lilinikata moto aisee.

Mpenzi wangu alijua akajitahidi kuffanua vyema yule mama akaachia kicheko Cha dharau.
"Heee! Heeeheeeh 🤣🤣🤣 Bona sauti na muonekano wako hamuendani?" Nilikaa kimya Kwa unyonge.

Tulikaribishwa ndani nikaingia ila nafsi yangu haikuwa pale tena furaha yote imekwisha toweka.

Mama wakati akiandaa chakula aliendelea kunisema kimafumbo mbele yangu eti akimhadithia kijana wake akitolea mfano wa kijana wa jirani yake ametoka mjini na kimwanamke chembamba hakina shape, kimefubaa huwezi kutangulizana nacho hata kwenda msibani watu wakakuuliza na huyo nani? Wapendwa Yale maneno yaliniumizamno.

Mpaka anakuja kutenga chakula hata hamu ya kula sikuwa nayo tena. Niliamua kutokula chakula chake kutokana na zile kejeri.

Baada ya kukaribishwa nikakataa mama ananiambia eti "Kula japo kidogo kamwili kaongezeke usije kufa njaa" Ile kauli ilinikera.

Niliamua kuwapisha pale mezani na kwenda kukaa nje. Kile kitendo kilimuumiza mwanae nilisikia wanazozana mule ndani. Kijana alipambana kunikingia kifua ila mama alizidi kunibagaza akidai Mimi Sina shape Wala muonekano wakustahili kuolewa na mwanaye hivyo aachane na Mimi kabla sijawazalia mazezeta kwenye ukoo wao. Hili liliniuma sana nikaamua kuondoka usiku huohuo bila kuaga.

Wapendwa mpenzi wangu anapiga simu akipambana kunirejesha kwenye mahusiano. Anasema hata mama yake akinikataa yeye hatojali anachojua ni kwamba ananipenda nirejee kwenyw uhusiano wetu.

Naombeni ushauri, ninamuogopa huyu mama sijui hatima yangu nikiwa na mwanaye. Nakosa jibu ndoa naihitaji ila mkwe simhitaji.

Want your establishment to be the top-listed Arts & Entertainment in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


IGOMA, MWANZA
Mwanza