First care Tz
Kalibu Account ya First Care Tz kwa Habari za
Kimataifa & Kitaifa
Michezo
Historia za watu na vitu
Facts
Celebrity news
Science & technology updates
02/05/2020
Je, Wajua?
Jina Muhimbili limetokana na neno la Kizaramo "mibili" likimaanisha kiungo cha mtoto tumboni kwa mama (plasenta) Hospitali ilipoanza Wazaramo walisema "Hapo ndipo wamama wanaenda kuacha mibili yao" Muhimbili likazaliwa hivyo, nalo ladumu hadi leo.
21/01/2020
Katika geleza hilo kulikuwa na Chumba kimoja Chumba hicho kilijulikana k**a "Marital Prisons." wanandoa wanaotaka kutengana walipaswa kufika kwa mchungaji wa eneo hilo.
K**a uamuzi wao ulikua kutengana basi walifungiwa kwenye hicho chumba kwa muda wa Wiki sita, ndani ya chumba hicho kulikua na, kitanda kimoja cha kamba tena kidogo, kiti kimoja, meza moja na kabati moja Na Couple ilipaswa kutumia hivyo vitu wote kwa pamoja.
Kwa hivyo, wanandoa iliwalazimu kupatana haraka iwezekanavyo, ili waweze kutoka nje ya gereza na kurudi nyumbani kuendelea na kazi zao.
Kusudi la kifungo hiki lilikuwa kuwapa wenzi hao nafasi ya kumaliza tofauti zao. Talaka inaweza kutolewa ikiwa tu, hatua hii haikufanikiwa.
Chumba hicho kilibuniwa mnamo karne ya 15 ili kupunguza wimbi la Talaka Maeneo hayo.
Kwa sasa Hicho chumba hakitumiki na badala yake kipo chini ya UNESCO k**a urithi wa dunia.
Lakini watu wengi wanapendekeza kirudishwe tena kwani kingesaidia sana dunia ya leo. .
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Mwanza