Middlecharz Sports INFO
11/10/2022
CAF WATOA ONYO KWA AL HILAL
Klabu ya Al Hilal imepewa onyo kutoka shirikisho la mpira wa miguu Afrika CAF kuwa wawe makini na mashabiki wao katika mechi za klabu bingwa dhidi ya vitendo vya vurugu uwanjani pale Hilal wanapokuwa nyumbani.
Hili limekuja baada ya mashabiki kufanya vurugu na kuonyesha tabia zisizokuwa za kimpira katika mchezo wa kwanza wa Al Hilal dhidi ya St.George baada ya Hilal kufunga goli na kufanikiwa kufuzu hatua hii ya pili.
Ikiwa Al Hilal watashindwa kutimiza onyo hilo watakutana na adhabu ya faini au kufungiwa kushiriki michuano hiyo kwa mujibu wa kanuni na sheria za uendeshaji wa michezo inayosimamiwa na shirikisho hilo la mpira Afrika.
✍️Middlecharz Sports INFO
🔎Mickyjnr
02/10/2022
Klabu ya Zamalek 🇪🇬 wamepata ridhaa kutoka CAF ya kucheza mechi zao zote mbili za klabu bingwa ya mzunguko wa pili hatua ya awali dhidi ya mabingwa wa Burundi Flambeau du Centre 🇧🇮.
Mechi zote zitapigwa katika uwanja wa Borg El Arab Stadium Alexandria misri🇪🇬
🔎 Middlecharz Sports INFO
30/09/2022
Eti hamtaki kufanya kazi mnasubiria mkeka🙄🙄🙄
Fungua comment kujua zaidi🤭🤗🤗🤗
30/09/2022
🗣Nikipata fursa ya kuonana na Rais wa TFF Wallace Karia na Katibu Mkuu Wilfred Kidao nitashukuru, moja kati ya mambo ambayo nitayafanya ni kuwaomba ikiwapendeza, basi wampunguzie adhabu Haji Manara kwa sababu sisi Yanga bado tunamuhitaji na mimi binafsi nahitaji kujifunza vitu vingi kutoka kwake"
🗣Nitawaomba wa-deal na mazuri ambayo Haji Manara aliyafanya kwenye mpira wetu na yale mapungufu yake wayachukulie k**a sehemu ya ubinadamu.Kama kuna nafasi hata ndogo ya kumpunguzia adhabu, sisi Yanga tutashukuru"
Ali kamwe
✍️Middlecharz Sports INFO
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mwanza