MsichanaTai
We empower every adolescent girl in the community to reach her full potential. Gender socialization
20/04/2026
MsichanaTai kwa kushirikiana na shirika la Haki Sawa tumefanya ziara katika Mkoa wa Mara, Wilaya ya Musoma kwa lengo la kuongeza ushiriki wa wanafunzi kwenye klabu za Tai Waona Mbali. Ziara hii imewezesha kufikia shule za Msingi Mshikamano A na Mshikamano B, pamoja na kuzindua klabu mpya katika Shule ya Sekondari Kigera Muyala. Tumeongeza ushiriki wa Wasichana na Wavulana katika kumsaidia Msichana afikie ndoto yake. Mikono Yetu Center for Creativity and Innovation Mikono Salama organization Amani Girls Organization Smash Cop Star Foundation Organisation Mwanza Youth and Children Network - MYCN Hakizetu Tanzania Organization
03/04/2026
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the organization
Telephone
Website
Address
Buswelu, Mwanza/
Mwanza