Aggie
Mtumba grade 01
02/03/2026
COSRX Salicylic Acid Daily Gentle Cleanser
📌 Inaondoa uchafu, mafuta mengi (sebum), na mabaki ya make-up.
📌Kutibu na kuzuia chunusi kwasababu kazi kuu ya hii ni kusafisha uso kwa kina na kufungua pores zilizoziba pamoja na mafuta yaliyozidi (sebum) hivyo kupelekea kupona kwa chunusi
📌Kupunguza mafuta kupita kiasi, ngozi yenye mafuta ni nzuri lakini mafuta yakizidi huleta shida kwaio hii hu balance uzalishaji wa mafuta usoni.
📌Kusaidia kuondoa blackheads & whiteheads hizi ni aina ya chunusi hivyo hii cleanser hutibu kabisa
📌Inafanya Scrub(exfoliation) hamna haja tena ya kujisugua na scrub nyingine kwasababu hii inaondoa vizuri cell zilizokufa usoni
📌Inafaa kwa ngozi zenye mafuta, nyeti, ngozi rahisi kupata chunusi na hata ngozi kavu
Bei 45000
Call/WhatsApp 0743808371
📍Mwanza Tanzania
🚚Delivery Tanzania nzima
Dr. Althea 345 Relief Cream
Ni moisturizer kutoka Korea ya Kusini, inayolenga kutuliza na kurekebisha ngozi yenye chunusi, nyekundu, au iliyoathirika.
Viambato Muhimu
📌Niacinamide 5% inasaidia kupunguza wekundu na kuboresha muonekano wa ngozi.
📌Panthenol Pro-Vitamin B5 inatuliza na kurekebisha ngozi iliyochoka au iliyoathirika.
📌Ceramides inasaidia kurejesha na kutunza unyevu kwenye ngozi
Faida
✨ Hutuliza ngozi nyekundu na yenye muwasho.
✨Husaidia kurekebisha ngozi iliyoharibika au yenye chunusi.
- Inafaa kwa ngozi nyeti, yenye mafuta, au mchanganyiko.
✨Inafanya ngozi inakua laini sana k**a ya mtoto
Bei Tsh 70000
🛍️Inapatikana
📩 Dm kwa Order
📞/ WhatsApp 0743808371
Tunapatikana Mwanza
🚚Delivery ipo Tanzania kote kwa gharama za mteja
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Mwanza