AFYA POINT
HABARI NJEMA KWAKO WEWE AMBAE UNAMATATIZO MBALI MBALI YA KIAFYA. HUMU UTAPATA ELIMU KUHUSU MATATIZO YOTE YA KIAFYA.
04/02/2025
🍎HII NI MUHIMU SANA KWA WANAWAKE WENYE MATATIZO YA UKENI
🍎KAMA ITAKUPENDEZA BASI TUMIA DAKIKA MOJA KUSOMA SIFA ZAKE.
🍎SIFA ZA FEMICARE
Dawa hii inatibu matatizo yote ukeni
hasa kwa wale wenye matatizo katika via vya uzazi.
✅️Huondoa harufu mbaya ukeni
✅️Huondoa uchafu unaotoa harufu mbaya
Huongeza bacteria walinzi katika uke
✅️Inatibu Fangasi sugu ukeni
✅️Inatibu U.T.I sugu ukeni
✅️Inatibu P.I.D sugu
✅️Huondoa maumivu wakati wa tendo la ndoa
✅️kurudisha ute ute unaohitajika ukeni.
✅️Inafanya Uke kuwa msafi na mkavu muda wote.
✅️Inazibua Mirija ya Uzazi iliyoziba na kurekebisha hedhi iliyovurugika.
✅️Inakaza misuli ya Uke uliolegea kutokana na uzazi wa mala kwa mala.
✅️Inaondoa maumivu ya Tumbo chini ya kitovu (chango).
✅️Inaondoa michubuko ukeni, vidonda na vijipele vyote.
✅️Inatibu hedhi kuvurugika hasa kwa wale wanao toa damu nyingi wakati mwingine mabonge ya damu.
✅️Hata kwa wale walio athiriwa na matumizi ya njia za uzazi wa mpango wa kisasa.
🟩MWISHO
Uke ni sehemu ya wazi yenye unyevu unyevu, ni rahisi Kuvurugwa na bakteria na kupata Maambukizi ya Mara kwa mara kwa haraka sana.
🍏Utibu kwa kutumia dawa nzuri ya femicare Kiboko ya Maambukizi yote Ukeni.
‼️K**a itakupendeza naomba niwe mmoja miongoni mwa watu wanao weza kupatia tiba ya tatizo lako.
🛰TUNAPATIKANA
Mwanza
Dodoma,
Arusha,
Dar es salaam,
Mbeya
Na mikoa mingine Tanzania
💸BEI YAKE NI;
45000 TU.
Wasiliana na mimi kwa namba 📞0769229000.
03/01/2025
FAHAMU TATIZO LA MAUMIVU YA TUMBO
Maumivu ya tumbo ni dalili inayosumbua watu wengi kwa wakati na umri tofauti.
Karibu kila mtu katika maisha yake atapata namna fulani ya maumivu ya tumbo.
Kuna sababu mbalimbali zinazosababisha maumivu ya tumbo na mara nyingi huwa sio za kutisha, hutubiwa na kupona.
Mara chache husababishwa na hali ambazo zinaweza kuhatarisha maisha yako.
Maumivu yanaweza kuwa katika sehemu maalum ya tumbo au tumbo zima.
SABABU ZA MAUMIVU YA TUMBO
Kuna hali nyingi zinazoweza kusababisha maumivu ya tumbo.
Chanzo cha maumivu hutegemea na sehemu maumivu yalipo.
⛔️Maumivu chini ya mbavu kulia yanaweza kusababishwa na
👉Mawe kwenye mfuko wa nyongo
👉Maambukizi kwenye mfuko wa nyongo (cholecystitis)
👉Uvimbe wa ini
👉Jipu kwenye ini
👉Homa ya ini
👉Saratani ya kongosho na kifuko cha nyongo
⛔️Maumivu chini ya chembe ya moyo
👉Vidonda vya tumbo
👉Kiungulia
👉Saratani ya tumbo
👉Saratani ya kongosho
⛔️Maumivu Pembeni mwa kitovu
👉Mawe ya figo (kidney stones)
👉Maambukizi ya figo (pyelonephritis)
👉Maambukizi kidoletumbo (Acute appendicitis)
⛔️Maumivu chini ya kitovu
👉Maambukizi ya mfumo wa mkojo
👉Magonjwa ya zinaa k**a klamidia, PID
👉Vivimbe vya mji wa uzazi
👉Mimba kuharibika
👉Saratani ya kibofu cha mkojo
👉Premenstrual Syndrome – PMS
⛔️Sababu nyingine za maumivu ya tumbo ni;
👉Irritable bowel syndrome
👉Utumbo kujiziba (intestinal obstruction)
👉Utumbo kujisokota (volvulus)
👉Food poisoning
👉Allergy ya chakula
👉Ugonjwa wa Crohn (Crohn’s disease)
👉Ngiri (hernia)
👉Homa ya tumbo (typhoid fever)
🟩Maumivu ya tumbo hutibiwa kutokana na sababu ya maumivu.
Ukifika hospitali mtalaamu wa afya atachukua historia ya ugonjwa wako na kisha kufanya uchunguzi
Kuna njia mbalimbali za matibabu za matatizo yanayosababisha maumivu ya tumbo, ikijumuisha dawa za kunywa au kuchoma na upasuaji.
Nashauri kwanza k**a una matatizo kapime kabla ya kupata Tiba kwa sababu dalili ya ugonjwa mmoja yaweza kuwa dalili ya tatizo au ugonjwa mwingine.
Asante kwa muda wako
Tupigie simu yetu kwa tiba na ushauri 📞0769229000.
20/11/2024
FAIDA ZA KUTUMIA DETOXILIVE.
1●Huboresha mzunguko wa damu
2●Huzibua mishipa midogo midogo ya damu
3●Husaidia kuondoa changamoto ya presha na dalili zake
4●Husaidia kunyonya nakuyeyusha mafuta mwilini
5●Huboresha utendaji kazi wa mishipa ya fahamu na usafirishwaji wa taarifa
hivyo hutibu tatizo lakusahau nakupoteza kumbu mumbu
6●Huboresha mishipa ya macho
7●Huondoa ukungu machoni
8●Hutibu matatizo ya macho kwa ujumla
9●Hutibu matatizo yakichwa kuuma
Mara kwa mara
10●Huboresha nguvu za kiume
11●Husaidia kutibu nakuzuia saratani ya tezi dume.
12●Huboresha muonekano mzuri wa ngozi
13●Huzuia kuzeeka kwa ngozi
14●Huondoa sumu za aina zote mwilini
15●Huondoa sumu kwenye ini na figo
16●Hubalance homoni kwa wanawake
17●Hutibu homa ya ini
NB:
Muhimu sana kutumia supplement hii maana inafaida kubwa sana hasa wakati huu wenye muingiliano wa chemical tofauti tofauti katika vyakula,dawa na vinywaji.
Tupo mikoa yote tanzania
Tupigie simu kwa msaada zaidi,,whatsapp/call●0769229000.
16/03/2023
🍎🍎JE UNAFAHAMU MADHARA YA SUMU MWILINI?
Asilimia kubwa ya maradhi yanayowasumbua watu hivi leo yanatokana na sumu zilizopo katika miili yao.
Inawezekana umewahi kusikia mambo mengi kuhusu sumu kwenye mwili, lakini hufahamu chazo halisi cha sumu hizi.
🍎🍎VYANZO VYA SUMU MWILINI
Miili yetu imekuwa ikipokea sumu na uchafu kila siku kutokana
🍏Matumizi ya dawa mara kwa mara
🍏Matumizi ya pombe (Alcohol) na sigara
🍏Mazingira na athari kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia
🍏Ukosekanaji wa lishe na mlo kamili.
🍏Matumizi ya madawa makali.
🍏Uzito mkubwa
🍏Mitindo ya maisha
🍏Njia za uzazi wa mpango za kisasa
🥭🥭DALILI ZA KUWA SUMU MWILINI
🍎Matatizo ya ngozi kwa mfano chunusi, vipele nk.
🍎Kuwa na uzito wa kupindukia
🍎Kutopata choo au kupata choo kigumu
🍎Kukosa usingizi Na kujihisi mchovu kupitiliza
🍎Kichwa kuuma kila mara
🍎Kupata miwasho sehemu mbali mbali za mwili
🍎Maumivu ya viungo K**a vile mgongo,goti, nyonga
🍎Kuwa na hasira mara kwa mara.
🍎Tumbo kujaa gesi nk
🥭🥭MADHARA YA MWILI KUJAA SUMU
🍎Kukosa hamu ya tendo la ndoa
🍅Kupata maambukizi ya figo
🍎Kupata maambukizi ya Ini
🍎Hupelekea matatizo ya kutopata watoto (ugumba)
🍎Husababisha uvimbe kwa ndani ya kizazi kwa mwanamke.
🍎Hupelekea matatizo shinikizo la damu la juu (high blood pressure)
🍎Mvurugiko wa homoni na kupelekea hedhi kuvurugika, maumivu ya hedhi na kukosa hedhi ikiwa si mjamzito.
🍎Husababisha vimbe mbalimbali mwilini.
🍏🍏SULUHISHO LA KUDUMU
Kwa watu wenye changamoto hizo tumewaandalia tibalishe / virutubisho muhimu ili kuondokana na matatizo hayo.
Bidhaa hii ni asili iliyo tengenenzwa kwa ubora wa hari ya juu sana,,ni salama kwa mtumiaji na haina madhara kwa mtumiaji.
🌶🌶FAIDA ZA KUONDOA SUMU MWILINI.
🍏Husaidia katika kuondoa matatizo ya upataji choo kigumu au mtu anayekosa choo.
🍏Husaidia katika kuimarisha mfumo wa mzunguko wa damu na upumuaji katika Mwili.
🍏Husaidia katika kuimarisha mfumo wa uzazi kwa mwanaume na mwanamke
🍏Huweka hedhi sawa na kuondoa maumivu wakati wa hedhi.
🍏Husaidia kuongeza virutubisho na kuupa Mwili afya na kulainisha Ngozi na kuifanya Ngozi kuwa ng'avu na laini.
🍏Huondoa uchovu Na kuupa nguvu.
🍏Huondoa sumu zote mwilini
🍏Inaimarisha ubongo na kutunza kumbu kumbu
🍏Inaondoa madhara ya pombe na kulinda ini na figo
🍏Inaondoa mafuta yaliyo zidi mwilini
🍏Inazuia kuota kitambi baada ya kuitumia
🍏Inaondoa sukari iliyo zidi mwilini
🍏Ni nzuri kwa wenye shinikizo la damu(presha)
Tupo dar es salaam mlimani city na mikoa yote tanzania,tupigie simu yetu kwa msaada wa tiba na ushauri.
Whatsap no,0769229000.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the practice
Address
Buzuruga TMDA
Mwanza