Kitambo Inspiration
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kitambo Inspiration, Writer, Isamilo, Mwanza.
09/06/2026
MAKOSA TANO YA WASABATO
Shalom wapendwa
Haya ni makosa niliyobaini kwa wenzetu wasabato.
1.Wanajihesabia haki
Yaani wanaamini kabisa kwa kusali jumamosi kwao basi mlango wa kuingia peponi ni wao..na asiyesali jumamosi ni jehanamu tu.
Na wanaamini kwa kusali jumamosi na mafundisho ya Elwn gwhite wako sahihi kabisa na hawana haja ya kujifunza tena
2.wanajiita wakristo lakini wamekumbatia agano la wayahudi
Hoja zao zote si kutetea injili ya Kristo bali kutetea agano la wayahudi.Hawako katika fungamano la agano jipya
3.Wanatetea sabato kuriko Bwana wa sabato
Ukiwafuatilia utabaini kwamba wanahubiri zaidi sabato kuriko kazi ya msalaba.
4.wanang'ang'ania kushika sheria kuriko kushika neema
Ndio maana nguvu na madhihirisho ya Roho mtakatifu hayapo.
5.Wamewekeza katika sheria za mwili zaidi kuriko mambo ya rohoni k**a vyakula ,sabato nk
..Mungu awabariki sana ..
Unaweza ongezea na wewe pia..
NJIA yenye nguvu ya kulipa kisasi kwa mtu aliyekukosea ni kusamehe..
Warumi12:19-21
Nakusihi kwa jina la Yesu samehe wote ...
Moja ya njia ya uhakika ya kudumbukia kwenye umaskini ni kujifanya tajiri ilihali bado masikini NEW ERA PROGRAM
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Address
Isamilo
Mwanza