Explore Mwanza Tour Guiding Program
Explore Mwanza is a Tour Guiding Program that enable You to Explore and to Discover the hidden treasures in Lake zone and Tanzania.
26/11/2020
when we have the best moments at &
“Our Priority is Your Satisfaction and Security”
Explore Mwanza Tour Guiding Program
Contact us
Mob: +255 763 470 177 / +255 785 902 854
Email: [email protected]
“Experience the Beauty of Lake zone and Beyond”
22/10/2020
Hello
leo twende ktk historia ya Wajerumani na Wasukuma/Mwanza....
Wajerumani walifika Nyanza miaka ya 1890's na kidogo hawakupata sana ushirikiano kutoka kwa viongozi wa kisukuma kutokana na aina/style yao ambayo ilikua ni ya Mabavu na Jeshi (military rule).
Baadae wajerumani walijenga Ngome Mwanza na Ngome kubwa ikijengwa TABORA. Baadae waliongeza nguvu katika mkoa wa KAGERA ambako ndipo ilikua stretegic kwa wao kuyafikia maeneo ya kanda ya ziwa (rwanda, uganda etc)...
Kwa mwanza walipata upinzani hafifu kutoka kwa baadhi ya viongozi wa kabila la kisukuma k**a vili MAKONGORO, MWANAMALUNDI NA WENGINE, Hiyo ilipelekea wajerumani kuwak**ata wahalifu mbalimbali na kuwakumu kifo hadharani.
Katika picha hii ndipo mahali ambapo hukumu ya kunyongwa ilitekelezwa hadharani ili kuwatisha wengine.
MTI HUU ULUPATA AJALI TAREHE 23.01.2013, ...
Na Halmshauri ya Jiji la Mwanza kwa kushirikiana na serkekali ya ujerumani, wamewezesha kujengwa kwa mnara wa mti bandia ambao unafanana na ule ulikuwepo.
Contact us
Mob: +255 763 470 177 / +255 785 902 854
Email: [email protected]
“Experience the Beauty of Lake zone and Beyond”
22/10/2020
Mwanza Tourism Event_
With Explore Mwanza-satisfaction guaranteed
Contact us
Mob: +255 763 470 177 / +255 785 902 854
Email: [email protected]
“Experience the Beauty of Lake zone and Beyond”
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Isamilo
Mwanza
33104