Positive Open School

Positive Open School

Share

BRING US A STUDENT, TAKE FROM US AN EXPERT! Karibu sana Positive Open school.

Untitled album 02/09/2014
02/09/2014

UFADHILI WA ELIMU YA SEKONDARI
Tunapenda kuwaalika wanafunzi wote ambao wanapenda kurudia mitihani yao ya kidato cha nne baada ya kushindwa kupata vigezo vya kuendelea, walioshindwa kumaliza kidato cha nne sababu ya changamoto mbalimbali, wanaotamani kuendelea na masomo ya sekondari baada ya kumaliza darasa la saba kuwa tunatoa nafasi hiyo BURE katika shule yetu iitwayo POSITIVE OPEN SCHOOL iliyosajiliwa chini ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima na kupewa usajili namba IAE/OS/0156 iliyopo Nyakato Buzuruga ndani ya jengo la Chuo cha Sayansi ya Afya Tandabui kuanzia mwezi huu wa nane (8)/2014 mpaka mwezi wa pili (2) mwaka 2015 ambapo ifikapo mwaka kesho mwezi wa pili mwanafunzi atalipia gharama kidogo sana ili kumalizia masomo yake.

Want your school to be the top-listed School/college in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


4056
Mwanza
4056