Fivara
Hip-Hop/Rap artist from Tanzania, East Africa. page for Tanzanian Hip-Hop artist, Songwriter and Producer - Fivara.
15/05/2026
Tegemeo my second album just reached another milestone on Audiomack. 10,000 streams 🏆🏆🏆
Road to 100K.
Samahani wamiliki wa Hip-Hop eti skincare inaruhusiwa?
😂😂😂😂 Hip-Hop bhana
Hii siweki maelekezo mengi ila ni show yangu ya kwanza nje ya Bongo, yeah you heard it right. Ilikua ni mwaka jana Mombasa, Kenya kwenye festival.
Tukutane Salaam Mzizima
Mwaka 2022 Jongwe alitoa beat ya Moto Chini rappers wafanye challenge halafu washindi wawili wahusike kwenye remix ya wimbo huo. Kwa jinsi ile beat ina mzuka niliandika verse mbili halafu nikaenda kuzirekodi k**a wimbo. Verse ya kwanza nikashoot clip nikaipost na ikamfikia Taita nikawa mmoja wa washindi wanne, ilibidi idadi iongezeke maana watu walifanya vizuri.
So kwenye ile challenge nikawa mshindi baada ya clip yangu kwenda lakini pia zile verse nilizorekodi nikazitoa k**a wimbo. Niliwaza wimbo niuiteje maana nilijua remix inakuja so nisingeuita remix badala yake nikauita refix, alikuja na hizo refix miaka flani so nikaona neno refix ni unyama. Dude likaenda hewani na kwenye remix pia nikaua, nilifungua verse ya kwanza, ya pili akaja , ya tatu na ya nne Kanji .tz.
Sasa nikurudishe kwenye hiyo clip unaiona hapo, hiyo ilikua event ya kwanza ya tarehe 27/7/2024, tarehe siwezi kuisahau. Hiyo siku matukio yalitokea mengi ila show niliyopiga waliokuwepo wanajua. Nilichapa Moto Chini Refix na watu waliamka sana.
Kwa leo niishie hapo ila niwaambie tukutane Salaam Mzizima , siku nyingine nitawahadithia mambo yaliyotokea hiyo siku.
NB: Mimi ni kati ya wasanii wachache walioanzisha events zao, MATAKO YENU 😎
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Mwanza