Absolute Solutions Ltd

Absolute Solutions Ltd

Share

Absolute Solutions Limited is a professional IT company,providing fully customized solutions to help

10/02/2020

Kufanyakazi k**a timu kunaongeza ufanisi na ubora wakazi, hivyo upelekea mteja kupata kilicho bora.

Absolute solutions ni utamaduni wetu kufanya kazi k**a timu.

Jumapili njema.

Photos 21/10/2019

Karibu Absolute solutions kwa huduma za kompyuta.
Website designs for businesses Computer maintenance and repair services Social media management and consultation Graphics design Software development

Karibu tukuhudumie

17/10/2019

Kwenye ulimwengu wa sasa wa teknolojia ya habari, matumizi ya internet yamekuwa maarafu sana k**a sehemu ya kupata habari na taarifa mbalimbali za kila nyanja utakayopenda. Watumiaji wakubwa wa internet Tanzania ni watoa huduma maofisini, wanafunzi wa chuo kutafuta materio mbalimbali, watafiti, madokta na wataalamu kwaajili ya kukuza ujuzi, na watumiaji wa mitandao ya kijamii.

Dunia ya sasa hivi kila mwenye kompyuta au smartphone anatumia internet kupata habari au taarifa kutoka World Wide Web (WWW) , kubadirishana meseji ,hati (dokomenti) na huduma.

MAMBO UTAKAYO JIFUNZA HAPA:
husikose kufuatilia somo hili la internet kwenye page yetu kila siku.
1. Kuelezea misamiati mbalimbali inayotumika kwenye internet.
2. Jinsi ya kutumia huduma mbalimbali zinazotolewa na internet.
3. Jinsi ya kutafuta taarifa ya kweli unayohitaji kwenye internet.
4. E-mail na namana ya kuitumia.
5. Kuelezea mchakato wa kudownload mafile mtandaoni.

"Karibu absolute solutions Mwanza kwa huduma za I.T( Information Technology)."

Want your business to be the top-listed Computer & Electronics Service in Mwanza?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Mwanza