Hhc-cathedral
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Hhc-cathedral, Religious organisation, Mwanza.
We pray for your restoration. -2 Corinthians 13:9
23/06/2014
Kanisa la Hhc linakuletea mkutano mkubwa wa injiri utakofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Ilemela utakaonza siku ya juma tano ya tarehe 25/06/014 kuanzia saa 9:30 mchana hadi saa 12:30 jioni.Watakao hudumu katika mkutano huu ni Muhubiri wa kimataifa Mch Epafla kutoka Uganda akishirikiana na Askofu Murisa toka katika kanisa la Hhc-Cathedral,Pia kwaya mbalimbali zitahudumu,Wenye shida na matatizo mbalimbali wataombewa,Karibuni sana.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Address
Mwanza