Reflex Studioz For Best Audio and Video
Reflex Productions For Best Audio ad Video
28/09/2022
Self Improvement and Personal Real life Archievements
Usikose Kuangalia Exclusive Interview Kwenye luninga yako kupitia Star TV siku ya Jumamosi tarehe 01/10/2022 kuanzia saa 11:30Jioni mpaka saa 12:30Jioni
25/09/2022
Self Improvement and Personal Real life Archievements
Naomba support ya kunipigia Kura Katika Tuzo za Music za Bongo Music awards Katika vipengele (Categories) mbili
1. Best male artists of the year(Mwanamuziki Bora wa Kiume) wa Reggae/Dancehall
2. Best song of the year (Wimbo Bora wa Mwaka) Asili yetu
https://youtu.be/GQFVcLR3RYM
Ushindi huu uko mikononi Mwako kwenye simu au computer yako
Cha kufanya unatakiwa kubofya hii link ya Bongo Music awards
https://www.bongomusicaward.co.tz/index
Na u creat account yako K**a voter baada ya hapo ndio unanitafuta Katika vipengele hivyo then unanipigia kura na kuniwezesha kuwa mshindi.
Asanteni Sana
02/12/2021
Bofya hii link https://youtu.be/e0crJN-_SWc kuangalia wimbo unaitwa Amani kutoka kwa Paul Mihambo ukisisitiza watawala kuitunza Amani ya nchi yetu Tanzania usisahau ku subscribe channel yake YouTube ili tuweze kuufukisha mbali zaidi Muziki wa Reggae nchini.
Paul Mihambo - Amani (Official Video) The song its about love & peace and happiness and its about political instability around East and central africa and other East southern countries.Karibu ku...
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the establishment
Telephone
Website
Address
P. O. Box 1946-Mwanza
Mwanza